Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.

Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.

Manabii karibuni mnisimange
Kwa muktadha wa thread hii

Upo sahihi kabisa ila nahofia yule mkwe wako hatakuroga kweli.
 
Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.

Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.

Manabii karibuni mnisimange
Kupanga ni kuchagua..... Hakikisha tu kwamba una nguvu za Kiume na za Mfukoni za kutosha.....
 
Mbususu Zina Nini? Mbona zinawatoeni akili?
Wanasema dunia ina maajabu yake ukiacha pesa na majumba ni wanawake (mbususu)

Kama Abrahamu tu alikula kijakazi wake hajra japokuwa alikuwa na mke sarah

Solomon alikula mke wa mwanajeshi wake . nadhani kula wake za watu kulianza hapa

Samsoni na ubabe wake mbususu ya Delilah ikamtuliza na ikamponza

Adamu alikatazwa asile tunda la mti wa kati ( inasemekana ni mbususu) uzalendo ukamshinda akala

Sembuse mimi kunguru wa Manzese nitaweza wapi kujizuia nisile mbususu

We acha tu hakuna kama mbususu
 
Naunga mkono hoja, ukioa wake wengi hufi mapema
Obasanjo alioa wake kama nane hivi.
Mpaka Leo bado yupo.
Kutekeleza matakwa ya mke mmoja kunaleta stress Sana.
Ukiwa nao wengi unadeal na mambo yako zaidi
 
Umedata
 
Kwa hiyo Nyerere angefuata nyayo za Msuguri angeishi, eti ehh
 
Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.

Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.

Manabii karibuni mnisimange
Kuowa mke mmoja ni amri ya mtu, na kuowa wake wengi ni amri ya Mwenyezi Mungu.Fikiria wanaume wako wachache,haohao wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kufa kwa kufanya kazi hatarishi,mfano Wanajeshi,Migodini,Madereva,n.k.
 
Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.

Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.

Manabii karibuni mnisimange
Bujibuji Simba Nyanaume kwanza kabisa hongera kwa ushindi mlioupata jana dhidi ya Berkane, nyie kweli ni Simba Nyanaume si viluilui vya Jangwani vyenye roho mbaya kuzuia nyie msinywe maji kule Lupaso (Kwa Mkapa). Mungu hajakataza mtu kuoa wake wengi, story nyingi za Quran na Biblia ni uzushi tu na hazina mashiko yoyote. Kuna kipindi Mohammad alikuwa na wake 13 akawaacha wengine (kwa kupunguza) mpaka akabakiwa na 7 tu.

Kijana Yakobo kwenye Biblia alikuwa na wake lukuki, mfalme Solomon alikuwa na wake 700 na girlfriends 300. Yet, bado watu wanaamini tu upuuzi wa kwenye hivi vitabu. Wewe kama uwezo unao oa tu kwani lengo la wewe kuwa mwanamme ni kuja hapa duniani kuzalisha wanawake na kuwatunza, HAKUNA aliyekukataza. Ukifuata hizi dini utapotoka mshikaji maana zinakufanya uwe mjinga daima. Angalia watu wanaojikita kwenye dini, ni kama mazombie fulani hivi yasiyo na akili za kufikiri mpaka waambiwe na sheikh ama mchungaji.
 
Bujibuji Simba Nyanaume kwanza kabisa hongera kwa ushindi mlioupata jana dhidi ya Berkane, nyie kweli ni Simba Nyanaume si viluilui vya Jangwani vyenye roho mbaya kuzuia nyie msinywe maji kule Lupaso (Kwa Mkapa). Mungu hajakataza mtu kuoa wake wengi, story nyingi za Quran na Biblia ni uzushi tu na hazina mashiko yoyote. Kuna kipindi Mohammad alikuwa na wake 13 akawaacha wengine (kwa kupunguza) mpaka akabakiwa na 7 tu. Kijana Yakobo kwenye Biblia alikuwa na wake lukuki, mfalme Solomon alikuwa na wake 700 na girlfriends 300. Yet, bado watu wanaamini tu upuuzi wa kwenye hivi vitabu. Wewe kama uwezo unao oa tu kwani lengo la wewe kuwa mwanamme ni kuja hapa duniani kuzalisha wanawake na kuwatunza, HAKUNA aliyekukataza. Ukifuata hizi dini utapotoka mshikaji maana zinakufanya uwe mjinga daima. Angalia watu wanaojikita kwenye dini, ni kama mazombie fulani hivi yasiyo na akili za kufikiri mpaka waambiwe na sheikh ama mchungaji.
Mazombie wa @falme Zumaridi.
 
Dini my haimtakii wema mtu mweusi.
Eti kuitwa Bujibuji Simba Nyanaume NI dhambi, eti niitwe majina ya Babu zao, sijui Mohammed sijui Paul, huu ni uzuzu.

Mungu akinipa Mali ya kutosha hata kuoa wanawake Mia na kuwatunza vyema, nitafanya hivyo.

Skylar usije kusoma huu Uzi. Najaribu kurudisha tulichokipoteza, asili yetu, jadi, Mila na tamaduni.

Graduates wa elimu ya jando, wakimaliza TU chuo, wanahama nyumbani, wanaenda kujenga maisha yao. Elimu ya mkoloni imefubaza talanta zetu na uuwezo wetu wa kujikimu mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla
 
Kuowa mke mmoja ni amri ya mtu,na kuowa wake wengi ni amri ya Mwenyezi Mungu.Fikiria wanaume wako wachache,haohao wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kufa kwa kufanya kazi hatarishi,mfano Wanajeshi,Migodini,Madereva,n.k.
Bado wanaume wengine wamezaliwa wakiwa mahanithi.
Wengine wamezaliwa na low sperm count. Wanapiga mashine fresh, wanapiga bao, lakini bao halina virutubisho vya kufanya mtoto atokee.
Wengine ndio wameasi jinsia yao, wameamua kuwa mashoga
 
Back
Top Bottom