Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuooa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi.

Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.

Manabii karibuni mnisimange
Nothing shall befall us except what God has ordained
 
Kwahiyo lengo kubwa la kuoa wake wengi Ni Mbususu?

Au Kuna kingine?
 
Mto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe [emoji1] tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Huyo uliyemtolea mfano unaona alivyochanganyikiwa kila mda kuna kesi ya kujibu kwenye maisha halisi yule ameshazikwa kitambo tu
 
Huyo uliyemtolea mfano unaona alivyochanganyikiwa kila mda kuna kesi ya kujibu kwenye maisha halisi yule ameshazikwa kitambo tu
Hata akifa umri wake umeenda siku hzi vijana wanakufa kwenye 50s tu kisa stress za familia. Huku unatekenywa kidevu huyu anapapasa kitambi huyu anakuvua viatu maisha ndo haya kama ya daudi
 
Sisi ni kina nani hadi tubishe starehe yako na wakati Duniani tunapita tu....

Kwanini Uoe,,, kuna ulazima gani wa kuoa sita,,, huoni kama unajipa limit,,, Achana na kuoa... Chakata mademu wa kutosha... Sita bado unajinyima...
 
Back
Top Bottom