Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Umeandika kwa ushabiki wa kusimuliwa pasipo kuwa na ueleo wa historia ya maisha ya Mtume Muhammad (S.A.W)

Hakuwahi kumtariki hata mke wake mmoja,na hakuwahi kuishi na wake 14 kama unavyodanganya na chuki zako za kidini.Mke wa kwanza wa Mtume aliitwa Bi Hadija aliishi naye robo karne,na wakati yuko na Bi Hadija hakuwahi kuoa mke mwingine mpaka Bi hadija alipofariki ndipo Mtume alipokuja kuowa wake wengine
 
MUNGU alivyo Mkuu sana, hiyo pesa hutaweza kuipata kwasababu una mawazo mabaya.
 
Sijausoma, nimefumba macho hata sijaona ulichoandika😅😅
 
Subiri makerubi wanakuja kukushauri😅
 
Kuowa mke mmoja ni amri ya mtu,na kuowa wake wengi ni amri ya Mwenyezi Mungu.Fikiria wanaume wako wachache,haohao wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kufa kwa kufanya kazi hatarishi,mfano Wanajeshi,Migodini,Madereva,n.k.
Mijitu misomi inafeli wapi?
 
Huku kuoana kunazingua sana , tungekuwa tunapandiana kama kuku ingekuwa bomba mno
 
Unajitambua, umeongea point na hauko kama wafuasi wa Mfalme Zumaridi. Hongera kwa kujitambua👏
 
Mkuu hapa ndipo JF, uliyokuwa huyajuwi utayajuwa hapa. Usikariri tu Quran, soma historia ya Mohammed. Unajuwa kuwa Mohammed alioa mtoto na akawa anambaka? Kama hujuwi huyo mtoto ni Aisha, kalikuwa ni katoto ka miaka 7 kakaolewa na Mohammed ambaye alikuwa na miaka 52. Alianza kumuingilia Aisha alipokuwa na miaka 9 yeye Muddy akiwa na miaka 54, unayajuwa haya? Tatizo la waafrika ni kupenda kukariri tu vitu bila hata kujuwa ukweli wake..
 
Dini zimeletwa na washenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…