Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Mto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe πŸ˜„ tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Unakuwa umenunua matrekta
 
Usijishauri mwenyewe mkuu..

Ushawahi kujiuliza mbona umesema kabla ya kufa.. na ukifa una tegemea kumuachia Nani? Wake zako
 
Fungua biblia yako kuanzia mwanzo mpka ufunuo hamna sehem biblia imekataza kuoa bebez wengi ...Mimi Nina wawili kwa Sasa bado watatu nimalize mwendo salama.
 
Hivi uamuzi wa kikristu kuoa mke mmoja ulitolewa na nani? Hawakuwatendea wanawake haki. Ukiangalia kwa makini, ni unafiki wa hali ya juu mwanaume kusema anatosheka na mke mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…