Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

Kuna mabenki yana safe deposit box, unalipa ada na kutia makaratasi yako huko.
Hata hivyo utaishi maisha ya hovyo kama mawazo yako ni kumfanyia mwenzako ukatili.
 
Mwanamke yupi unayemzungumzia hapa bikra au asiye na bikra, Acha kurahisisha mambo hivi
 
nUe
hapa nimwkuelewa vizuri sana mali nitafite mimi alafu kwa umalaya wake eti tugawane pasu kwa pasu
 
eeh pole mkuu na niwie radhi, hayo ni naoni tu as to show men sometimes wanawake hua na maamuzi yasoeleweka, thats why ishini nao kwa akili, hasa ambao hamjaishi more than 7+ years, mkiishi 7+ yrs utakua unamjua vizuri nae anakujua , hivo ni rahisi kumcontrol.

nimeongea by experience niloshuhudia kwa wanawake kadhaa, so ishi nao kwa akili
 
Mtafute Ashraf Hakimi anayekipiga pale PSG akupe mbinu alizotumia, maana naona unaogopa yasije kukuta yaliyomkuta Emanuel Eboue.. Hongera kwa kushtukia mchezo mapema maana ukishaingia kwenye game kuna kuwekwa "sawa" ukabwaga kila kitu kwa mama chanja,,
 
Yaani wewe muonekano wako utapata mwanamke atakae kushika kisawasawa mwombe sana mungu akupatie mtakaoendana nae bila kufanya ivyo utakuja kuleta mrejesho
 
Kachukue safe deposit benki kwa mwezi crdb basic ni 30k - 100k documents zote sensitive ficha pale .

Cha pili kabla ndoa mfanye mkeo asign prenup , hii inahakikisha chochote alichokupata nacho au utakachomiliki sio matrimonial property
Kwani Tanzania kuna Sheria ya prenup ?
 
Hakikisha cheti cha ndoa hakisajiliwi huko wanaposajili hatakuwa na jeuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…