Wazungu na waarabu wametufanyia kitu kibaya sana.....wametugeuza kuwa MAZEZETA na mandondocha wa fikra zao..........ki ukweli wa afrika tumeshapotea......
Unapomuomba Yesu na Bikira Maria wakusamehe dhambi zako je unatofauti gani na hao wanaowaomba wapendwa wao??Kama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.
NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU
Vipi ambao walikufa bila kuijua iyo kweli Mungu anawajibika nao vipi mkuu? Atawaacha wale bata mbinguni kwa sababu hawakuwa na taarifa au atawatupa motoni maana hawakumfata?Umepotea ndugu.
Historia uliochimba wewe nichamtoto..
Kuna jamaa kafundisha, video ipo YouTube
kaelezea tangu jinsi gani watu waliingia ardhi ya Tanzania..
Makabila kama wanyamwezi, wahehe, wapare, wahiraki yalianzishwa vipi na kwa maana zipi,.
imani hizo za mizimu zilianza vipi tulizitoa wap...
Shule ya maana.
na Hitimisho ni.. Sisi watu wa mataifa nje na Israel mwanzo wote hatukumjua Mungu wa kweli tulifanya ibada za Sanamu na kuabudu miungu pasipo kujua (Tunaita ni zama za ujinga)
lakini sasa tupo ambao tumeijua kweli, Tunamuabudu Mungu tunae mjua, Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo.
Shusha nondo sasa hivi kaka baada ya mechi utakua ushavulugwa maana najua wewe ni simbaAlly Nassor Px asante sana kwa mwaliko my apology kama hutojali nitejee hapa baada ya mechi tafadhali[emoji1545][emoji1752]
Kweli Mimi nimepotea.....Waafrika hawajapotea, labda wewe ndo umepotea peke yako.
Kweli kabisa mimi ni mnyama na sasa sina utulivu wa akiliShusha nondo sasa hivi kaka baada ya mechi utakua ushavulugwa maana najua wewe ni simba
Futa hiyo Maria kwanza ndio twende sawa.Unapomuomba Yesu na Bikira la Maria wakusamehe dhambi zako je unatofauti gani na hao wanaowamba wapendwa wao??
Tenaa wewe unawaomba watu wasiokua na nasaba ya ukoo wako
Amini nakwambia SIKU UTAKaYOKUFA HUKO UENDAKO UTAKUTANA NA WATU ULIO WAACHA DUNIANI, Utajua Mungu alioo uliza adam uko wapi ilikuwa na maana ipi.Samahani mkuu.
Unamzungumzia huyu Mungu alieshindwa Kujua walipo Adam na Hawa baada ya kuasi hadi akaita ADAMUUU UPO WAPI???
unamzungumzia huyu Mungu mwenye wivu??
Unamzungumzia huyu Mungu ambae alimtaka Ibrahim amchinje mwanae Isaka Ili ajue kama ana imani thabiti kwake???
Unamzungumzia huyu Mungu alieua wazawa wa kwanza wa Wana wa Israel waliokataa kupaka damu Milangoni???
Kama ndo huyo huyo, basi Mungu wenu ni FARA
Kuhusu Kuabudu bikira maria ilo mbona liko wazi ni Ni ufedhuli unao fanywa na makanisa ya kiroma wabudu sanamu.Bikra maria bado yupo hai au sio???
Halafu anakuwaje bikra wakati alikwisha zaa???
Yan umetulia kabisa una andika mizimu ni watu wema kwel??! Mizimu si watu tena ni nafsi za wafu uwe mwema uwe mbaya. Na haiwez kusaidia chochoteMungu (nguvu kuu) kila jamii ilikuwa na namna yake yakumfikia mungu (nguvu kuu) katika dunia nzima, kwetu afrika tulikuwa na njia zetu za kumfikia mungu na kutusaidia
Mizimu ni watu wema au mababu zetu waliokufa lakini katika uhai wao walikuwa watu wema walikuwa machifu,waaguzi,walinzi wa ukoo,watabiri n.k hawa watu roho zao hubaki katika ulimwengu kusaidia jamii zao husaidia kwakuwa wapo karibu sana na nguvu kuu( mungu) ndomana wakiombwa na kukumbukwa na jamii zao husaidia bila shaka lolote
Lakini pia kuna mizimu mibaya mababu zetu waliokuwa wachawi,wasaliti,walozi nao pia roho zao hua zinabaki duniani kuendeleza mambo yao waliowaachia mikoba huwaomba wawasaidie kazi zao za uchawi na ulozi na huwasaidia pia
Note: kila jamiii ina namna yake yakumfikia mungu (nguvu kuu) maamuzi ni yako kufata jamii yako ili umfikie mungu au kufata jamii nyingine wazungu,waarabu,wachina,waizraeli n.k ili umfkkie mungu(nguvu kuu)
_mzoma
Tutawajua, na watahesabiwa kwa matendoKwahio waliokufa kipindi Dini hii tuliyonayo haijafika wanaenda wapi mkuu??
Waliwezaje kuwasaidia mababu zetu..? Wazungu wameshakulogaYan umetulia kabisa una andika mizimu ni watu wema kwel??! Mizimu si watu tena ni nafsi za wafu uwe mwema uwe mbaya. Na haiwez kusaidia chochote
Wazungu wameshimamisha SANAMU ya mbuzi, sasa huoni mm na hao ni tofati.Waliwezaje kuwasaidia mababu zetu..? Wazungu wameshakuloga
Ni jukumu la kwanza na la juu kabisa la kila kiumbe mwenye akili kujifunzaVipi ambao walikufa bila kuijua iyo kweli Mungu anawajibika nao vipi mkuu? Atawaacha wale bata mbinguni kwa sababu hawakuwa na taarifa au atawatupa motoni maana hawakumfata?
Na wewe unaamini alibeba mimba bila kuto*bw*??Kuhusu Kuabudu bikira maria ilo mbona liko wazi ni Ni ufedhuli unao fanywa na makanisa ya kiroma wabudu sanamu.
pili aliitwa bikira keasababu alibeba mimba bira kumjua mwanaume
Mzimu ni marehemu, ambapo Kiafrika kiasili tuliamini kuwa wafu wapo karibu na Mungu hivyo tulikuwa tunaomba mizimu utusaidie maana wao wapo karibu na Mungu. Ni sawa na Wakatoliki wanavyoamini katika saints.Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now.
nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya.
kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza, waberigiji, wafaransa, wahindi na wachina. waliamini uwepo wa mungu ila swala lilikuja pale kumuabudia huyo mungu.
Nini maana halisi ya neno "Mzimu"?
Mzimu ni marehemu, ambapo Kiafrika kiasili tuliamini kuwa wafu wapo karibu na Mungu hivyo tulikuwa tunaomba mizimu utusaidie maana wao wapo karibu na Mungu. Ni sawa na Wakatoliki wanavyoamini katika saints.
lakini kwenye dunia ya leo tunaamini
"Maana ya neno "Mzimu", ni Mashetani ambao ndio humuongoza kufanya maasi, wakati mtu anakata roho hao Mashetani hutoka, hao ndio "Mizimu". Mizimu ni Mashetani walio toka kwa WAFU, kutii Mizimu ni kutii Mashetani, na si kutii WAFU."
ila ukweli wa mambo ni kuwa neno SHETANI sio neno lenye asili ya kiafrica . Concept ya shetani imeletwa afrika. waafrika walikuwa hawaamini uwepo wa shetani.
Mzimu imefananishwa na shetani baada ya dini za kigeni kufika afrika ila
imani ya uwepo wa shetani imeletwa hapo mwanzo haikuwepo.
Waafrika wengi wanaamini mababu zetu hawakuamini Mungu bali mizimu. Kumbe sio kweli Mungu alikuwepo ila tuliamini ndugu zetu waliokufa walikuwa wanatuunganisha sisi na Mungu, hivyo ili maombi yako yafanikiwe unaongea na mizimu (marehemu wa ukoo wenu).
Waafrika tuliamini Mungu, ila tukaamini Mungu yuko karibu na wafu (mizimu/mababu na ndugu walokufa) ambao tuliamini wanaishi katika mibuyu na miti nk. Sio kwamba tuliabudu miti
Ndio maana dini za Kiafrika hazikuwa na wamisionari wa kusambaza kwasababu, kila mtu aliomba Mungu kupitia mizimu ya ukoo wao. Mizimu ya ukoo wa mwezako ulikuwa hakusaidii hivyo hakukuwa haja ya kusambaza dini za asili, kila mtu aliomba kikwao.
Ila watu weupe ndio wakatufunza kuwa Mungu kwa imani zetu sio sahihi. Kwahiyo wasingekuwa wao bado tungeamini Mungu kinamna yetu.
nakualika kaka Mshana Jr katika kutoa mawazo yako katika hili andiko
NDIONa wewe unaamini alibeba mimba bila kuto*bw*??