Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Je, unaijua kesho yako itakuaje ?..

Je, unaweza kuamua kesho utakutana na nani au lipi ?...
Mdogo angu, hukutani na mtu kwa bahati mbaya.
Huamki tu ukakutana na mtu, kuna process ambayo lazima umei initiate ili jambo lolote litokee, haijalishi kwa kujua au kwa kutokujua.
Kama nikikurudisha 5 years back, je hapo ulipo ndipo ulipotaka kuwa kwa kitu ukifanyacho na kwa level uliyoifikia ?..
do you think watu wanafika wanapofika just as a coisedence? Every single one dreams of achievements. Ndio kitu kinatutofautisha . Na kutaka tu haitoshi, lazima kujikita kwenye mchakato, na vibration zako kwenye mchakato ndio zina determine your next move.
So Yes, nilipo hapa ni less than kile nilifikiria, nafikiri kufika mbali zaid. Eyce I will send you a screen shot of this idea am doing toka nimeifikiri 2016 nikiwa with my friend ofisn nikiwa ndio kwanza nimeanza anza kaz baada ya kutoka chuo nalipwa mshahara wa 250k kwa mwezi 😂.
What I know, binadamu tuna control mchakato tu ili tuweze influence results ila hatuna UBAVU wa kutengeneza matokeo vile tunavyotaka sisi na kama ingekuwa hivyo, bhasi zaidi ya 80% ya biashara za Tanzania zisingekufa kabla ya kufikisha miaka 5 maana sidhani kama kuna mtu anaeanzisha biashara ili ife...
Kaka, kubali kataa, unahusika kwa asilimia zote kwenye matokeo yoyote yanatokea katika mchakato ambao umeamua kuufanyia kaz. This ia the law of responsibility na ndio kitu wengi huwa tunakataa kujiambia ukwel. Huwez seriously kusema uimfie kwenye biashara halaf unambie et the unknown third party ndio anakia determinant factor ya kupenya au kukwama. Utaanzisha biashara yea inawwza kufa lakin katika kifo hicho u play part. Utaajiliwa kazin, but u still have a role to proof succesa or failure in it. Hiki wengi huwa hatu confess but deep down huwa tunaujua ukwel
One thing nachoweza kukubaliana nawe ni kuwa kila kinachotokea mara nyingi hutokana na maamuzi tunayofanya ila sababu za kupelekea kufanya uamuzi fulani, kuna zile tunazoweza kuzicontrol na zile tusizoweza
Now you are talking. And this is my whole point
Personally, huwa naamini sana katika jitihada sana na strategy za kufanya mambo lakini huwa sipuuzi uwepo wa circumstances ambazo zipo nje ya uwezo wangu, japo sizipi uzito sana ili nibaki persistent
And this is major reason on to why people do what they do.
To have an upper hand of controll when it comes ro circumstances.
Having no controll over circumstances mdio kitu kinawafanya watu wakeshe kwa waganga, kwa mwamposa, kwenye ma research projects etc ili tu waweze kupata solution and power to controll circumstances.
 
Lakini nyumba na gari Mimi naona ni mahitaji ya muhimu Ila sio mafanikio Mimi nayatazama mafanikio yangu ninapokuwa na uwezo wa kuwafanya watu wengine wapate. Mahitaji yao kupitia mimi

Mafanikio ya binadamu yanamhusu yeye mwenyewe. Ili uambiwe umefanikiwa tunazungumzia hayo mahitaji yako kuweza kuyafikia.
Kusaidia Watu Wengine hapo Unazungumzia imani, dini, na Upendo ambapo unaweza kufanya hivyo hata kama hujafanikiwa kupata mahitaji yako ya msingi kama nyumba.

Kutoa ni moyo(upendo) sio utajiri (kufanikiwa)
 
Kiukweli kabisa sijawahi kuwa na fikra za mbele na za ukubwa huo.

Siku zotee naamini mbele yangu siijui, kwasababu mipango, matamanio, na mategemeo havina mkataba na uhalisia katika maisha.

Watu wengi wanajenga nyumba kwa kujibana na kuishi kwa taaabu muda mrefu, ni bora kuwa mpangaji wa muda mrefu mwenye akili ya uwekezaji kuliko mwenye nyumba anayeishi kwa msoto mkali wa kulipa mikopo kisa kulinda ufahari wa kumiliki nyumba 😂😂
 
Mdogo angu, hukutani na mtu kwa bahati mbaya.
Huamki tu ukakutana na mtu, kuna process ambayo lazima umei initiate ili jambo lolote litokee, haijalishi kwa kujua au kwa kutokujua.

do you think watu wanafika wanapofika just as a coisedence? Every single one dreams of achievements. Ndio kitu kinatutofautisha . Na kutaka tu haitoshi, lazima kujikita kwenye mchakato, na vibration zako kwenye mchakato ndio zina determine your next move.
So Yes, nilipo hapa ni less than kile nilifikiria, nafikiri kufika mbali zaid. Eyce I will send you a screen shot of this idea am doing toka nimeifikiri 2016 nikiwa with my friend ofisn nikiwa ndio kwanza nimeanza anza kaz baada ya kutoka chuo nalipwa mshahara wa 250k kwa mwezi 😂.

Kaka, kubali kataa, unahusika kwa asilimia zote kwenye matokeo yoyote yanatokea katika mchakato ambao umeamua kuufanyia kaz. This ia the law of responsibility na ndio kitu wengi huwa tunakataa kujiambia ukwel. Huwez seriously kusema uimfie kwenye biashara halaf unambie et the unknown third party ndio anakia determinant factor ya kupenya au kukwama. Utaanzisha biashara yea inawwza kufa lakin katika kifo hicho u play part. Utaajiliwa kazin, but u still have a role to proof succesa or failure in it. Hiki wengi huwa hatu confess but deep down huwa tunaujua ukwel

Now you are talking. And this is my whole point

And this is major reason on to why people do what they do.
To have an upper hand of controll when it comes ro circumstances.
Having no controll over circumstances mdio kitu kinawafanya watu wakeshe kwa waganga, kwa mwamposa, kwenye ma research projects etc ili tu waweze kupata solution and power to controll circumstances.

Binadamu hana uwezo wa kuendesha maisha yake wakati yeye ni kiumbe.
Leo hukujia utajadili mada hii na mimi au huyo Eyce hukujua. Ni bahati tuu.
Na dakika chache zijazo hujui nini kitatokea kwenye maisha yako. Ndio hapo tunaposema huwezi ku-control maisha yako kama hujui next step yako ni ipi.

Rais Samia hakujua leo angekuwa Rais ilhali kuna Watu walipigana kufa kupona kuwa Marais lakini wamekufa bila kuwa Rais na kila sifa na nguvu na jitihada walifanya.

Watu waza na wenye hekima ndio wakahitimisha kwa KUSEMA

Mhubiri 9:11 NEN​

Nimeona kitu kingine tena chini ya jua: Si wenye mbio washindao mashindano au wenye nguvu washindao vita, wala si wenye hekima wapatao chakula au wenye akili nyingi wapatao mali, wala wenye elimu wapatao upendeleo, lakini fursa huwapata wote.
 
Nilipokua nasoma niliamini ufaulu wangu tu ndio utaniokoa kutoka hali mbaya ya maisha.
Mzee baba nilikaza sana shule nakweli rizati hazikunitupa mkono.
Ajabu baada ya kumaliza ndio nikaona ilmu si kigezo cha kukufanya uwe na maisha bora. Bali maisha unayoishi yalishaandikwa and you are just passing through.
 
Hiki ni kitu tofaut kamanda umekileta. Nakubal siwez ku controll uhai. Lakin hik sicho ulichokileta mezan kwenye mada kuu.

Ishu hapa namna watu wanayatazama mafanikio na kumsingizia Mungu kama sababu ya kutofanikiwa kwao, kitu ambacho sio sahihi.

Haya uliosema wewe mimi siko huko kabisa kamanda
 
Nilipokua nasoma niliamini ufaulu wangu tu ndio utaniokoa kutoka hali mbaya ya maisha.
Mzee baba nilikaza sana shule nakweli rizati hazikunitupa mkono.
Ajabu baada ya kumaliza ndio nikaona ilmu si kigezo cha kukufanya uwe na maisha bora. Bali maisha unayoishi yalishaandikwa and you are just passing through.
MKuu u need to open up. Kuna kitu am sure hukitazami sawa.. Mimi naamin we write our own history. Zaman niliamin kama wewe. Jaribu kutoka nje ya circle yako brother
 
Kiukweli kabisa sijawahi kuwa na fikra za mbele na za ukubwa huo.

Siku zotee naamini mbele yangu siijui, kwasababu mipango, matamanio, na mategemeo havina mkataba na uhalisia katika maisha.

Watu wengi wanajenga nyumba kwa kujibana na kuishi kwa taaabu muda mrefu, ni bora kuwa mpangaji wa muda mrefu mwenye akili ya uwekezaji kuliko mwenye nyumba anayeishi kwa msoto mkali wa kulipa mikopo kisa kulinda ufahari wa kumiliki nyumba 😂😂
Kama wahindi wanakaa kwenye apartment nzuri zenye AC Ila wanamiliki cash flow za wao kuwawezesha kula hadi na wajukuu.
 
Kwa sababu kila kitu chatoka kwa Mungu.
Hata huo upangaji watoka kwake.
Kama hautoki kwake usingekuwepo kabisa
Siyo sahihi kuaminisha watu kwamba wanaofanikiwa ni wale wa Mungu tu

Wakati na bahati huwapata wote

Na kuna maelfu ya walokole ni Masikini wa kutupwa

Kufanikiwa ni jitihada na bahati
 
Sijui ndio ridhki ama ndio zali, bahati, uwezo binafsi au nyota ya mtu..

Ila nilichokisoma kwenye life, unahitaji mtu wa kukuinua maana hata Mungu hashuki chini kuja kukuinua ila hutumia watu.

Nimekutana na watu ambao wapo hardworking, passionate, God fearing, talented and skilled yaani wana kila sifa za kutoboa ila hawajapata sehemu na watu sahihi wa kuwainua

Halafu kuna wale ambao ni average tu na wengine ni wavivu pasee kama hawa tunaokutana nao kwenye ofisi za umma lakini wanatoboa kwa sababu wapo kwenye system lakini pia wana back up

Kwa hiyo maisha ukiyafikiria kiundani utakosa majibu ila cha msingi uishi tu
Maisha hayana formula hapa bongo kwasbb ya uhovyo hovyo. Aliyesoma sana nafasi yake inazibwa na kilaza mwenye godfather, mkulima bora anadhullumiwa na dalali, mfanyabiashara anayepambana anakwamishwa na wafanyabiashara wanaokwepa kodi, mwenye kipaji cha mchezo wowote anapoteza kipaji chake kwa kuwa hana godfather.

Tukiacha uhovyo hovyo tukajeshimu mifumo na taratibu, mambo yatatunyookea.
 
Kuna ambao walikata tamaa lakini Dakika za mwisho wakatoboa wakiwa katika state hiyohiyo ya kukata tamaa.

Na waliokuwa na moyo mkuu usiokataa tamaa mpaka mwisho lakini wakashindwa kutoboa. Walikufa wakiwa hawaamini kama ngoma imelala wakiwa wamepigwa.

Mungu ndiye mwamuzi wa yote. Huna lolote utakalofanya kwa uwezo wako. Unaweza ukawa strong ukashindwa na aliyedhaifu
Kuna uzi ulikua unamponda sana Mungu leo unamsifia
Ila jamiiforum kuna vibweka sana
 
MKuu u need to open up. Kuna kitu am sure hukitazami sawa.. Mimi naamin we write our own history. Zaman niliamin kama wewe. Jaribu kutoka nje ya circle yako brother

Hata Mimi niliamini hivyo Ila now nimebadilisha hiyo hali.

Ukisema na kuamini kuwa you can't afford such kind of life , is going to happen as you used to think on ur mind .

Don't take you for granted
 
Thanks Dr . Nilipata fursa yabkukutana na machapisho ya watu mashuhuri katika vitabu yakanibadil kabisaa mtazamo watu.
I am always convinced amd believe kwamba am the one incharge and the one in controll of my life. That is it
 
MKuu u need to open up. Kuna kitu am sure hukitazami sawa.. Mimi naamin we write our own history. Zaman niliamin kama wewe. Jaribu kutoka nje ya circle yako brother
Kuna mambo yananitokea physically afu unayarelate mbona kama nilishawahi kuyaona!
Ilishawahi kukutokea hii?
Mi hunitokea mara nyingi tu. Na ndio nazidi kuamini kua haya yanayotutokea yalishaandikwa.
 
Thanks Dr . Nilipata fursa yabkukutana na machapisho ya watu mashuhuri katika vitabu yakanibadil kabisaa mtazamo watu.
I am always convinced amd believe kwamba am the one incharge and the one in controll of my life. That is it

Ndo maana ni muhimu watu Ku so ma vitabu kuna hidden secrets nyingi hatuzijui kwa kutokuwa na maarifa

Hata MTU anayelalamika kila siku hana hela ukichunguza kiundani Sana unagundua tatizo lipo katika mindest yake ,
 
Back
Top Bottom