Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Mdogo angu, hukutani na mtu kwa bahati mbaya.Je, unaijua kesho yako itakuaje ?..
Je, unaweza kuamua kesho utakutana na nani au lipi ?...
Huamki tu ukakutana na mtu, kuna process ambayo lazima umei initiate ili jambo lolote litokee, haijalishi kwa kujua au kwa kutokujua.
do you think watu wanafika wanapofika just as a coisedence? Every single one dreams of achievements. Ndio kitu kinatutofautisha . Na kutaka tu haitoshi, lazima kujikita kwenye mchakato, na vibration zako kwenye mchakato ndio zina determine your next move.Kama nikikurudisha 5 years back, je hapo ulipo ndipo ulipotaka kuwa kwa kitu ukifanyacho na kwa level uliyoifikia ?..
So Yes, nilipo hapa ni less than kile nilifikiria, nafikiri kufika mbali zaid. Eyce I will send you a screen shot of this idea am doing toka nimeifikiri 2016 nikiwa with my friend ofisn nikiwa ndio kwanza nimeanza anza kaz baada ya kutoka chuo nalipwa mshahara wa 250k kwa mwezi 😂.
Kaka, kubali kataa, unahusika kwa asilimia zote kwenye matokeo yoyote yanatokea katika mchakato ambao umeamua kuufanyia kaz. This ia the law of responsibility na ndio kitu wengi huwa tunakataa kujiambia ukwel. Huwez seriously kusema uimfie kwenye biashara halaf unambie et the unknown third party ndio anakia determinant factor ya kupenya au kukwama. Utaanzisha biashara yea inawwza kufa lakin katika kifo hicho u play part. Utaajiliwa kazin, but u still have a role to proof succesa or failure in it. Hiki wengi huwa hatu confess but deep down huwa tunaujua ukwelWhat I know, binadamu tuna control mchakato tu ili tuweze influence results ila hatuna UBAVU wa kutengeneza matokeo vile tunavyotaka sisi na kama ingekuwa hivyo, bhasi zaidi ya 80% ya biashara za Tanzania zisingekufa kabla ya kufikisha miaka 5 maana sidhani kama kuna mtu anaeanzisha biashara ili ife...
Now you are talking. And this is my whole pointOne thing nachoweza kukubaliana nawe ni kuwa kila kinachotokea mara nyingi hutokana na maamuzi tunayofanya ila sababu za kupelekea kufanya uamuzi fulani, kuna zile tunazoweza kuzicontrol na zile tusizoweza
And this is major reason on to why people do what they do.Personally, huwa naamini sana katika jitihada sana na strategy za kufanya mambo lakini huwa sipuuzi uwepo wa circumstances ambazo zipo nje ya uwezo wangu, japo sizipi uzito sana ili nibaki persistent
To have an upper hand of controll when it comes ro circumstances.
Having no controll over circumstances mdio kitu kinawafanya watu wakeshe kwa waganga, kwa mwamposa, kwenye ma research projects etc ili tu waweze kupata solution and power to controll circumstances.