Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Nilishaishi na mbwembwe nikafanya sana😂 sasa hivi kilichobaki ni makombo tuu🤣
 
Reactions: K11
Nje ya katiba wengine waliokuwa na uwezo wa ku-challenge nafasi ni ma-CCM. Kukosa imani nae na kum-challenge ndio msingi wa surprise ya teuzi bila ya kuzingatia kanuni.
 
Kama itakua ni bibi chaudere anafanyiwa sub na sir God basi itakua ni kitu bora sana kuwahi kutokea tangu dunia kuumbwa, ngoja niandae bajeti ya kitimoto mzima kabisa
Watu mna roho mbaya!!! amewakosea nini mama wa watu mpaka mumuombee kifo? She is the best president ever; ngojeni ipo siku mtapata hicho mnachokitafuta. atakuja raisi hapa namna atakavyo watesa mtamkumbuka huyu mama wa watu. I love her kwa kweli na ninamuombea heri; wachawi watatangulia wao
 
Mudawote rafiki mwema hakuna kiumbe kinapenda maji kama bata.. Hasa yakiwa na tope! Lakini kamwe hayapendi yakiwa moto! Ni maji yaleyale kakini yakipashwa tu moto anatimua mbio
 
Kama wewe unamuona ni bora hiyo ni wewe na ujinga wako usitake kila mtu awe na mawazo ya hovyo kama yako, peleka utoto wako huko
 
Fisi hasusiwi wala haachiwi bucha...
 
Ukipenda chongo huona kengeza
 
Kungekuwa na mpango huo wangekubali kuuweka wazi?
Au ni propaganda zinapikwa na team Msoga ili kuwalaza usingizi wa pono na kuwafariji wenye kudai katiba yenye ubora na maslahi kwa taifa, tume huru na mabadiliko mbalimbali ya uchanguzi?
Na ktk kufarijiwa huko hatimaye Kizee kinafiki na Bi wa Morden Taarabu kukalia tena kigonda.
 
Kama wewe unamuona ni bora hiyo ni wewe na ujinga wako usitake kila mtu awe na mawazo ya hovyo kama yako, peleka utoto wako huko
Mpuuzi mwenyewe. Uchawi sio lazima ubebe tunguri hizi roho zenu mbaya ni zaidi ya wachawi.. Na mkiweza jinyongeni kabisa; hafi wala nini. Mtakufa nyie mtamuacha... SAMIA@2025-2030
 
Ukipenda chongo huona kengeza
Yes she is much far better. Mkae mkijua huo Urais kapewa na Mungu na anayeweza kumnyanga ni Mungu pekee. SAMIA hajawahi kugombea huo Urais, kapendekezwa kuwa Makamu wa Rais hajaiomba hiyo nafasi na Mwenyezi Mungu akampa Urais. Jiandaeni kununa kwa miaka mingine 5 . She is here to remain. wachawi mtakufa mtamuacha.
 
She is here to remain.😀😀😆 ulitakiwa kuandika she is here to stay..!
What you just wrote.. Is what we call fantasy contents.. Full of wishful thoughts😀
 
Sasa 'myth' za namna hii awe anapewa na copy ya taarifa Msechu.

Ili awe anaandaa na verses kabisa na kuzihifadhi, ili likitokea la kutokea huko mbele ya safari asihamanike, awe ameshajiandaa na kisaikolojia kabisa.

Kazi yake iwe rahisi, ni kujaza jina na wa wasifu wa mhusika na kupanda hewani, tayari.
 
Tamati yangu nimeandika haya...
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…