Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Ila watanzania wengi hawana kazi, alfajiri tu uzi na unajadiliwa hadi saa sita mchana
🀣🀣🀣🀣🀣
Tena Uzi wa kusubiri kifo Cha mtu flani tunayemchukia........hatukumuumba lakini tunapanga kifo chake. Usiniquote, sijasema mleta mada hana kazi za kufanya!πŸ™ŒπŸ™Œ
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Tena Uzi wa kusubiri kifo Cha mtu flani tunayemchukia........hatukumuumba lakini tunapanga kifo chake. Usiniquote, sijasema mleta mada hana kazi za kufanya!πŸ™ŒπŸ™Œ
Mleta mada ni muajiriwa wa JF
 
Dah, mkuu umetulia na kuridhika yaani unasubiri Samia afe!
wee vp tena unaumwa? Mbona unanilisha maneno ya ajabu kiasi hicho?
na si lissu.
 
N
nilikuwa kama wewe nikiwa mtoto sasa mawazo yangu ni ya utu uzima
Mimi sio Sisiemu wala chadema na wakiwekwa wote wawili na Andazi nitachagua andazi
 
Wewe muajiriwa,kitambo,mpo wengi tu ambao mkizidiwa hoja mnakimbilia kupiga ban kisa mmeshikilia vitufe vya ban
Mkuu naomba basi ujiridhishe na hizi tuhuma zako.. Mimi sifanyi kazi JF na sijawahi kuajiriwa kitengo chochote
 
Ohooooooo!!!!
 
Kwani India madakari wa ICU wanasemaje!
 
Nisingesoma comments nilijua ni kweli parapanda italia ili nizidishe toba kusali sana duuh kumbe mambo ya fisiemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…