Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Subiri kifo cha mamako kwa furaha we mbwa kokoKama itakua ni bibi chaudere anafanyiwa sub na sir God basi itakua ni kitu bora sana kuwahi kutokea tangu dunia kuumbwa, ngoja niandae bajeti ya kitimoto mzima kabisa
Jiwe alifia madarakani sababu yakuharibu mambo ya wenzie na kuwageuka ..na pia sababu nyingine ya kula pesa za rambirambi.....Ningekua Abdul mtoto wa mkojani ningelopoka"Mamaweeeh hebu waachie linchi lao mama ,kalee wajukuu wako,sitaki kukupoteza kabisa"
Tatizo kuu ni kuutaka upili ambao waliompa ukwanza hawataki achukue upili!!
Leo akitangaza kujiengua kwenye mbio,utasikia chawa wakisema upya"mama mtu safi sio mroho wa madaraka huyu mama"
Nawaza!
Mtu hawezi kufa eti kuna kundi linamwombea kifo. Magu siku yake ilifika, kwa hiyo kila unayetofautiana naye au usiyempenda anakufa? Who are you? Ndio maana hao chadomo wanaitwa nyumbu, hawana akili kabisa, ni zero brainJiwe alifia madarakani sababu yakuharibu mambo ya wenzie na kuwageuka ..na pia sababu nyingine ya kula pesa za rambirambi.....
Kizimkazi ni kiongozi safi sana ...nyie wenyewe mlikuwa mnamtukana kwamba eti anaongoza Nchi kwa remote ya msoga..mara Sijui Rais dhaifu...sasa kahamua kufanya vile mlivyozoeshwa na mtangulizi wake
Ukiua kwa upanga na wewe utauawa kwa upanga... Ukisingizia covid19 na wewe watasingizia chochote 😄😄Wammalize haraka wasighahiri kwakweli
Parapanda yenyewe imeshaanza kukikitambo saizi ni muendelezo tuu kama hivi 👇 👇Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Parapanda yenyewe imeshaanza kukikitambo saizi ni muendelezo tuu kama hivi 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DJtpQWqtame/?igsh=bTBkYThlN3Jmam5q
Hebu weka reference kwa hao waliosema. Tupate risiti. Isije kuwa wewe ndio unasema hapa....Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Dah pameanza kuchangamka😀Hebu weka reference kwa hao waliosema. Tupate risiti. Isije kuwa wewe ndio unasema hapa....
Sinema, bongo movies, FUTUHI 😅🤣😅🤣Parapanda yenyewe imeshaanza kukikitambo saizi ni muendelezo tuu kama hivi 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DJtpQWqtame/?igsh=bTBkYThlN3Jmam5q
'Script' nzima ya sinema imeharikia hapa, kwenye huu mstari. Matumaini pekee yaliyobaki ni kwa sababu tu ya hayo maneno ya mwanzo yalivyotumika hapo.Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
daaah, wadau mna roho mbaya kweli sjaona ata mmoja anashikwa na huruma🫣🫣🫣mtaambia Nini watu?? watahuzunika sana🥱🏃🏿🏃🏿🥺
Kwa maana hyo unapinga au sioAnyway mi siamini km ni mipango ya watu
Afadhali roho mbaya ya maneno kuliko ya vitendodaaah, wadau mna roho mbaya kweli sjaona ata mmoja anashikwa na huruma🫣🫣🫣
kweliMimi nitaangusha ngamia 10 kwa furaha ya ukombozi wa Tanganyika, yatosha sasa damu za Watanganyika wenzetu alizokunywa.