Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Mimi kwa kuwa nina imani mno na wewe ukisema jambo la huko kaya kuu,huwa naamini kama ninavyomuamini Mama yangu mzazi kuwa ni yeye aliyenizaa,hata hili naamini.
Na dalili zinaanza kuonekana.Maana haya yote yanayofanyika hususan kushambulia ikulu katoliki,kutishia akina Bagonza nk yanafanywa kwa lengo moja tu: kumharibia Mama Samia.
Wanataka aonekane hafai kabisa ili asiendelee kuwa Rais.
 
Hujawahi kumkubali Samia kwa chochote tangu mwanzo. Mijadala yenye kuzua taharuki kwenye uongozi wake lazima ikuvutie. Mara ngapi britanicca amekuwa akitoa tabiri za uongo jukwaani? Lakini kwasababu zinafurahisha nafsi zenu huwa mnakuwa mbele kudadavua as if na ninyi ni sehemu ya huo mpango fake.
 
Britannica hujawahi kosea!

Hofu yangu jambo hilo litokee baada ya watumishi kupata chetu Ile asilimia aliotangaza!

Kwa sequence and series ilivyo ni dhahiri anaingia mtu mpya kwa strong hold Kwa mlango mwingine!

Ndio maana ya "original plan out, desert mission"

Kweli nyoka kinyume nyume!

Mtu "calm, visionary, intelligent,patriotic atafanikisha next stage"
 
Ingawa siwajui kwa majina ila wapo waandamizi watadondoshwa kabla ya uchaguzi kubalance mizani. Hiyo kwa nchi zetu za Giza ni mbinu pendwa sana wala huna haja ya kuwa mpiga ramli kuling'amua.
 
Are mentally retarded? Soma uelewe hio comment.
Kwa akili yako, umefikiria nimejibu comment hiyo tu. Na unajiona akili yako ipo sawa sawa? Soma comments zake kuanzia mwanzo wa mjadala huu.
 
Kutofaa Kwa lisu ni kutokana na mapito yake,Bado ana trauma huyo jamaa!!
 
Hapo Sasa nimekuelewa competence ya watu wengi wanaofanya kazi serikalini ni ndogo Sana ndio maana miaka 64 ya Uhuru bado sisi ni masikini wa kutupwa
 
Britanicca, tunakuamini kwa kutupatia habari kutoka source sahihi za ndani kabisa.

Tutafuatilia uzi huu hadi mwisho.
Hii hamna kitu maana hakuna alichotoa ,mwanzo mbona alikuwa anataja vitu direct kama uteuzi wa DGIS ,kupigwa chini mawaziri na kuteuliwa wapya? Hii mbona hajasema tukio zaidi ya kubashiri ,kwani wewe unavyofikiria hadi mwezi wa 7 hakuna kitu chochote kitachotokea kuelekea uchaguzi mkuu? Awe specific.
 
Kwahiyo nani ni leadership material
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Ndo hivyo
Rohoni tayari 100%

Narudia chawa, hizo pesa wekeni, maana mambo yakishageuka sijui mtakula wapi?
Mtaanza kulialia kuhaha na press km g55? Shauri yenu 🤣

Shauri yenu ,mark my words.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…