Tetesi: Kabudi kuachia nafasi zote za kisiasa

Kwa afrika hilo sahau kabisa , mpaka afe au kama aliteuliwa atenguliwe
 
Atuambie kwanza zile boksi za dawa ya uviko iliyotoka nchini Madagascar zimeishia wapi🐒
 
Ameona asiwe sehemu ya huu uporaji.
 
Aachie tu kama hafurahishwi na samia mbona kinana aliachia kwa kumkwepa JPM
 
Kitendo chake Cha kipumbavu Cha kumuita mwendazake mungu hakita muacha salama.
Mnakumbuka Mwanri aliyekufuru akiwa Tabora?
 
Atarudi Jalalani?
 
Hivi kama mshauri wa Rais, alishiriki kumshauri Rais juu ya Mkataba wa DP World? Naomba nijulishwe ili nianzie hapo na hizi tetesi.
 
Huyo si ndo alipewa jukumu la kudeal na ishu za mikataba?.

Mkataba huu wa Kimangungo nao una baraka zake?
 
Kwamba ana kitu..
Pengine hakusikilizwa ndio maana kaona bora ajitoe ili lawama zitapokuja baada ya miaka 10, awe na la kusema kuwa si sehemu ya serikali.
Halafu, nafikiri kaona ataisaidia sana Tanzania akienda Jalalani kwa kuwanoa wanafunzi baada ya kuongeza ujuzi serikalini na fitina za siasa. Hilo nalo ni somo kuu ambalo hakulipata kwa miaka yote akiwa jalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…