Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

Hata wajenge na nn. Ndani ya hilo kaburi kuna nn kama si uvundo na mifupa mitupu. Acheni kumkufuru Mungu. Mbona la Mkapa hamkuliweka???
 
Angejua kama dunia ni mpangaji asingemkosoa Mola wake
 
Kama ni kwa fedha za familia sawa
 
Lisu ni shetani anayetembea
Je wajua kuwa Tundu Antipas Lissu hivi tunavyozungumza anapumua, anatembea japo kwa shida, anaona, anasikia, anaweza kula, anaweza kufikiri, anaweza kuzungumza na cha muhimu sana anaweza kutabasamu? Amefanya kosa gani la kumfanya awe shetani? Au kwa kulalamika kuwa amepigwa risasi bila makosa. Hebu yataje hapa makosa ya TAL ili na mimi nijiunge kumshutumu TAL
 
Kwani kuna mtu alisema hili kaburi litakaa hivyo hivyo siku zote au mnajishtukia tu.Ata makaburi ya watu tu wakawaida yanajengewa sembuse huyo ambaye alikua kiongozi wa nchi.punguza upuuzi usio na maana kwasababu kaburi ata lijengwe na madini yanayotoka mbinguni kamwe haliwezi kua na maana na thamani kama ambavyo alivyokua binadamu.Kwahiyo kujadili thamani na ubora wa kaburi ni ujinga tu.
 
mnamiss sana huyo mzee wenu ila ni nothing kabisa , alishindwa kuleta katiba mpya ambayo ingejenga misingi imara Leo na kesho sababu binadamu tunapita ila yeye aliwaza mitano Tena na kuongezewa mda. Poor
 
Hebu tuache uongo,ni ushahidi upi unakupa usema maneno hayo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Dah TANESCO Wawekezaji tena?? Duh watu hawana HURUMA
 
Jeshi ndiyo wamejenga baada ya watu kuponda sana yule bi mkubwa alikuwa bize kupanga safi yake ya uongozi
Kwani jeshi lipo chini ya nani? Kwani kinakuuma nini tukisema Rais Samia amejenga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…