leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
Msihukumu msije mkahukumiwa maandiko yanasema,wakumbuke wale wahalifu wawili walio tundikwa msalabani pamoja na Yesu mmoja alitubu dakika za mwisho na akawa binadamu wa Kwanza kwenda mbiguni huku watu ambao hawakuwepo kwenye Hilo tukio la kutubu wakijua Ni mwenye dhambi!shujaa wako wewe na familia yako.
Je hawa? acha hizo, huko aliko anateketea kwa moto mkali, mpambeni tu lkn Mungu anajua ukweli wa alichokitenda kwa watu, KATILI
![]()
View attachment 1973308
Punguzeni kumhukumu Magufuli kwani hamkuhusiswa kwenye dakika zake za mwisho.
WAOMBEENI WAFU NA SI KUWAHUKUMU, Mnaingilia kazi ya muumba Nani ajuae pengine alimlilia muumba wake na akasamehewa.
Ni Nani nyie mnaohukumu kujivisha kazi ya muumba wetu?