Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

December 25/26 mwaka huu nitakuwa hapo kutoa heshima zangu kwa mwamba JPM. Nafahamu nahitajika kupata kibali kwa mkuu wa wilaya ya Chato, nitafanya hivyo kwa hakika.🏆
🥇🥈🥉👌💪
 
...watanzania wanasahau kuwa bila kusemea/kupigia kelele mambo nchi hii hayafanyiki....hata hili la kaburi la mwendazake...Kama watu wasingesema humu ungekuta halijajengwa ...lilishasahaulika...Hadi kelele zilipopigwa wakalijenga fasta fasta...hivi ndivyo mambo yanafanyika tz hii ya ma ccm
 
Mungu fundi bwana
Mitano tena anailia kwenye Jumba la milele
 
LOOOooh, mbona umenistua moyo wangu mkuu juu ya hiyo habari ya kunadisha TANESCO, nilikuwa bado sijaipata.

Nani kichaa huyo asiyelitakia mema taifa hili; kweli atafanikiwa?

Kama umesikia hawa vidagaa akina Makamba ndio wanatoa uharo huo, basi ujue hao ni vispika tu, mwenye sauti yupo.

Hivi ndivyo nchi inavyofunguliwa?

Hakika hawa ndio maadui wa taifa letu la Tanzania, na ni lazima tuwatambue hivyo.

Baada ya kuyaandika hayo, nikirudi kwa huyo unayemsifu, niliposoma kichwa cha habari tu kabla sijasoma uliyoandika ndani yake nikawa na shauku ya kukujibu kwamba huyo mtu wako alikuwa na kasoro kubwa sana. Na hivyo ndivyo ilivyo hata kama kuna baadhi ya mambo aliyonuia kuyafanya yalikuwa na manufaa makubwa kwa taifa letu. Tukiondoa ule uchafu wake (ambavyo kiuhakika haiwezekani kuuondoa au kuusahau), Magufuli angekuwa ni rais mzuri sana, angeweza kuwa katika safu moja na Mwalimu na Sokine.

Sijui ni kitu gani kilichokuwa kikimsukuma kufanya mambo ya ajabu ajabu sana, mengine hata yakiwa hayana ubinaadam kabisa!
 
Ndio kashakufa mkuu, hakuna haja ya kutumia gharama kubwa haisaidii chochote

Mimi nikindei hata baharini mnitupe, fresh tu
Maneno huuumba chunga kauli zako maiti hupewa heshima pia ndio maana hustiliwa basi ukatendewe sawa sawa na maombi yako
 
kufanya uwekezaji kwa serikali sio vibaya,kwanza serikali kufanya biashara haiwezi kujitwisha huo mzigo ni vizuri sana,hebu imagine sasaivi teknolojia ya mawasiliano ilipofikia na uko nyuma ilivyokuwa ttcl ndio utaelewa
Hivi mkuu, ni kweli shirika la umma popote duniani haliwezi kufanya kwa ufanisi?
Embu toa sababu tuzitathimini sote!
 
India walishakataa hiyo makitu, unatandikwa moto, ndugu wanachukua majivu, mkiamua kutunza ok, mkiamua kuyamwaga mtajua mwenyewe! Nchi nyingi zinaadopt hiyo kitu! Hebu angalia eneo potential kama Kinondoni Makaburini, linashindwa kutumika kwa uzalishaji kusaidia watu waliopo at the present sababu kuna kaburi la so and so walikufa mika ya 1950's
 
Airbus moja iwekwe pale ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…