Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

Kafanya vzr maana sasa ni Chadema tu wanatamba huku Bara kule Zenji ACT wako vzr.
Maybe!ila Kama Hilo ndio lilikuwa lengo wangejiunga tangia mwanzo ili nguvu ya upinzani iwe kubwa Sasa amini usiamini wapenzi wa Zitto hawatampa Lissu Kura ,walitakiwa wawaandae kisaikolojia wanachama, yaani kifupi huyu jamaa kafanikisha na ile principal ya divide and rule.
 
Just opinions mkuu.U r free to thnk in whatever dimension.

By the way kuwa Ccm is not a crime though sipo huko. Kama wapizan wenye matarajio ya kuongoza nchi hii siku moja , basi ni lazima tujizoeze kuheshimu mawazo m badala hata pindi wengine wanapotofautiana na wewe.

Karibu kwa mtazamo wako.
Mawazo ya ki lumumba lumumba, haya kachukue buku zako 7
 
Maybe!ila Kama Hilo ndio lilikuwa lengo wangejiunga tangia mwanzo ili nguvu ya upinzani iwe kubwa Sasa amini usiamini wapenzi wa Zitto hawatampa Lissu Kura ,walitakiwa wawaandae kisaikolojia wanachama, yaani kifupi huyu jamaa kafanikisha na ile principal ya divide and rule.
Bahati mbaya Membe mwenyewe hana ushawishi wowote ule Tz, Zitto Kabwe na ACT yake yenye Mbunge 1 na madiwani wasiozidi 10 nchi nzima hawana u-heavyweight wowote ule kwny siasa za upinzani huku bara na uzuri Lissu alishamuunga mkono maalimu kwa upande wa Zenji,mambo mswano.
 
Okay!wacha tusubiri nguvu ya umma trh 28 itachoamua...
 
Alichosema Membe kuhusu pesa ndio ukweli wa Hali halisi,ile sheria ya mambo ya fedha iliwalenga wapinzani na wafanyabiashara wanaogopa kufilisiwa kwa kubambikiwa kodi Kama watasaidia upinzani kwa hiyo hapa ni wananchi tu ndio tuwachangie
 
Mawazo ya ki lumumba lumumba, haya kachukue buku zako 7
Ahahahahahahahah.Dah mkuu mimi ni kamanda mbona halaf unataka kunishusha vyeo?
Ww kwa jicho la upizani huon kama membe anajaribu kuleta mkanganyiko?

Wewe hujiulizi kwann chadema hawaongelei hiz habar licha ya kwamba pia wana face same financial hardship ku fund campaign ? Unadhan hawataman kulalamika badala yake wamemua kupambana kwa alternative nyingne ya kuchangiwa na wananchi!?.
Cdm wanajua impact ya hii kitu.!!
Impact ya kujionyesha ninyi kama chama kuji associate na wafanya biashara na wafadhili..
Mimi kwa muono wangu ni kwamba Membe anaupaka tope upinzani.

Kama vp alalamikie chama chake alone asijumuishe wapinzani wote wakaonekana ni wale wale.

Ni hatar chama kuwa cha wafanya biashara au mabeberu kuwa wafadhili.Hamyakwepa influence yao pindi mnapoingia madarakani
 
Habari za membe waeleze wana ACT
 
Hiyo afya na uanachama wa kampuni ni zuga tu,

Jamaa itakua kafuata mpunga.
 
Back
Top Bottom