Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo amesema ili kushinda figisufigisu za uchaguzi hauwezi kutegemea majukwaa peke yake bali wanapaswa kuunda kamati za siri kwa kuwa wao wanaishi na wananchi ili wajue wanachokifanya

Ameyasema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari akiwa amerejea kutoka Dubai, ambapo alisema alikwenda kwa yeye ni mwanabodi wa taasisi fulani kubwa ya kimataifa na huwa wanakutana mara nne kila mwaka

Amesema Uchaguzi ukiwa huru na haki ACT-Wazalendo itachukua madaraka kwa mwaka 2020. Aidha amekiri kwa vyama vya upinzani kuwa na ukata wa fedha kutokana na kile alichodai kuwa ni mfumo mbovu uliyopo

Ameahidi akiwa Rais ataruhusu fedha kuingia bila shida yoyote labda hela kutoka ndani ya nchi ndio itakuwa lazima kuwe na utaratibu. Amesema hiyo itasaidia kuongeza tija na ajira

Unaweza ukawa na point hata ukiwa ndotoni. Membe sasa hana nguvu za kushinda Urais.
 
Halafu unapotamka "tuunde kamati ya siri" hadharani, lazima ujue kuwa haitakuwa kamati ya siri. Tayari washindani watajua kuna kitu kinapikwa hivyo lazima wataongeza umakini na kukufuatilia. "Siri" ni jambo lisilojulikana hadharani na ni makubaliano yanayohusisha pande zinazofanya kazi pamoja. Taarifa ikishasambaa, sio siri tena.
 
Hili jamaa ni shushu la ccm tuu, hata hiyo kamati ya siri linataka kupereka siri ccm
Kwenye hiyo Kamati ya siri, yeye Membe mwenyewe asiwemo.
Jasusi mbobezi anatoa mipango ya SIRI iwe SIRI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kampeni za siri au anataka kutufundisha wizi wa kura wafanyavyo ccm?!
 
Mbona unaweweseka sana juu ya wapinzani?
Suala siyo wapinzani tena, hawa wanatafuta kushika serikali. Sisi wapiga kura tunataka ubora siyo ushabiki kama huu wa kwako. Ukiulizwa ubora wa unayemshabikia huujui, wewe mwenyewe hujijui!
 
Wanalia wakati maccm ndiyo mnapiga kelele hata jana mmelia kweli kwenu kule
Wewe ni CHADEMA? Kila kitu munaomba michango majukwaani bila hata sababu! Matumizi ya pesa Mbowe hataki kuhojiwa. Hiyo ndo ajira yenu?
 
Wewe ni CHADEMA? Kila kitu munaomba michango majukwaani bila hata sababu! Matumizi ya pesa Mbowe hataki kuhojiwa. Hiyo ndo ajira yenu?
Haikuhusu, pesa tunachanga sisi wana cdm, hutaki kanywe sumu na sisi tutaendelea kuichangia cdm yetu
 
Suala siyo wapinzani tena, hawa wanatafuta kushika serikali. Sisi wapiga kura tunataka ubora siyo ushabiki kama huu wa kwako. Ukiulizwa ubora wa unayemshabikia huujui, wewe mwenyewe hujijui!
Hapo wewe kwa sasa hauna option zaidi ya kukubali kuongozwa na serikali ya cdm chini ya rais mtarajiwa mh Lissu
photo%20266%2012-18-0.jpg
 
Wewe ni CHADEMA? Kila kitu munaomba michango majukwaani bila hata sababu! Matumizi ya pesa Mbowe hataki kuhojiwa. Hiyo ndo ajira yenu?
Wacha kuweweseka dogo, tulia sindano ikuingie vyema maungoni mwako ili upone kichaa
Screenshot_20200912-222712.jpg
 
Kwa kinywa chake, nazidi kumshusha thamani siku hadi siku. Bora angekua anakaa kimya.

1. Ufadhili wa wafanya biashara
Kwani ikulu kuna biashara gan ambayo itamuwezesha kulipa fadhila.kumbuka wafanya biashara hawana pesa za kuchezea hovyo !!anachotoa jua utakirudisha tu...
Kuna zile hela zilizuiwa kwenye kituo kimoja cha haki za binadamu sijui zilitoka kwa nani?
 
Haikuhusu, pesa tunachanga sisi wana cdm, hutaki kanywe sumu na sisi tutaendelea kuichangia cdm yetu
Wagombea wenu huku site wana njaa kali balaa. Mpaka sasa hivi hata kampeni bado hawajazindua
 
Back
Top Bottom