Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa wapi na wangapi na kwa sensa ipi! The catholic church is there to dominateLeo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompanda mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Ndo unadanganywa hivyo. Makanisa ukaya yanageuzwa bar kila sikuWatuwa wapi na wangapi na kwa sensa ipi! The catholic church is there to dominate
The Catholic Church, also known as the Roman Catholic Church, is the largest Christian church, with 1.28 to 1.39 billion baptized Catholics worldwide as of 2024.
sawaNdo unadanganywa hivyo. Makanisa ukaya yanageuzwa bar kila siku
Tuongeze umakini na hizi infinix......Kadri maaskofu na mapadre wanavyompanda mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Unajidanganya mkuu. Ibada ya katoliki ni ibada ya mazoea.Watuwa wapi na wangapi na kwa sensa ipi! The catholic church is there to dominate
The Catholic Church, also known as the Roman Catholic Church, is the largest Christian church, with 1.28 to 1.39 billion baptized Catholics worldwide as of 2024.
Alisikika bibi kizee mmoja anayeishi Tanga chumbageni akinena......kwa hamasa kabisaLeo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Hilo umeliona kibongo bongo tu man, ila kwa nchi zingine sidhani kama ukatoliki umepungua kama Tanzania yetu..Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Mtoa mada kumbuka Kristo ni yule yule Jana leo na hata Milele! Makanisa ya Kimwendo kasi na matapeli wa dini huibuka kama uyoga na hufa hivyo hivyo....walikuwepo wengi na wataendelea kuja wengi, lakin kanisa ni moja, takatifu lenye mizizi ndani ya Kristo wa Ukwel halitajufa mpaka atakapoamua.Huu ni msimu wake huyo Mwamposa, acha aendelee kula vichwa! Walivuma sana hawa leo wako wapi?Kakobe, Mwingira,Ngurumo za upako, marehemu mama Rwakatare,Mzee wa upako makuhani na manabii wa uchawi kila kona!Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompanda mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
RC wanakufundisha kweli ya Mungu halafu wanakuhimiza uiishi, lakini iwapo ulikuwa unategemea watatengeneza 'mvuto' kama unavoutaka wewe, basi sahau kabisa hilo. Mvuto hufanywa na wafanyabiashara kwa wateja, sio kwa mambo ya kiroho yanayohitaji zaidi imani.Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Ni naniYohana 6:67
Basi Yesu akawaambia wale Thenashara, Je! Ninyi nanyi mwataka kuondoka?
Si mara ya kwanza watu kuondoka kwenye Ukristo.
NB: Mwamposa siyo Mkristu.
Mwamposa hana waamini. Anakusanya kusanaya tu waganga wachawi yaani ni zoa zoa na akiondoka mambo yote yanishia hapoLeo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Kama mtu unajitambua vizuri utabaini kuwa uhusiano na MUNGU haupo kanisani, kwenye dhehebu wala misikitini!Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.