- Thread starter
- #41
Kwa hiyo kanisa katoliki haliamini kabisa kwamba Maonbi yanaondoa shida za mtu. Sasa mnaenda kanisani kufanya nini, kutoa sadakaHao wanaokusanyika ni make wanaotaka shortcuts - miujiza. Watahangaika haika huko na matatizo yao yatabaki pale na pale na mwishowe watarudi nyumbani. Si wapotea njia mwishowe huipata tena?