DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Walikuepo akina kakobe wa full gospel, alikuepo akina Mzee wa upako, gwajima. Hivi sasa wako wapiLeo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.