Kadri siku zinavyoenda kanisa katoliki linapotea slowly kwa sababu watu hawataki kusali kimprinsiple preiple.

Ndo unadanganywa hivyo. Makanisa ukaya yanageuzwa bar kila siku
Acha kuwa unaandika ujingaujinga kila mara.Unatoa vijineno ulipotoa ambavyo havina ushahidi na kuleta mbele za watu wazima na kuanza ubishi wa kipuuzi tu.
 
Kwa hiyo unamwombea mabaya wakati yesu ameshakataza kumhukumu mtu
 
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.

Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Jambo usilo lifahamu ni kwamba RC ni Kanisa na taasisi kongwe kabisa duniani, huku likiwa limeanza miaka mingi iliyopita. Mwamposa ni kiumbe mdogo sana ukimlinganidha na Kanisa Katoliki! Atapita kama upepo, na Kanisa litabakia palepale.

Imagine alikuwepo Mzee wa upako! Yuko wapi kwa sasa?
 
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.

Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Mwamposa ni mtu kama muuza mihogo au msaga mashineni, Katoliki ni kanisa na ni taasisi. Katoliki lina miaka zaidi ya elfu mbili, Mwamposa hata miaka 50 hana na hapo kabla alikuwa mtu wa kawaida kama dalali kwenye utumishi hana hata miaka 20.

Miaka kadhaa Mwamposa atazeeka na kutangulia. Kisha mkewe (kama anae maana sijawahi muona) na wazee wa kanisa wagombee usimamizi wa sadaka, mauzo ya mafuso ya mchanga wa baraka, mauzo ya tenki za maji ya baraka, mauzo ya madumu ya mafuta ya upako na mauzo ya marobota ya vitambaa vya kutoa mikosi. Sijasahau na hoteli aliyofungua Mbeya.

Sasa Mwamposa analinganishwaje na dhehebu lolote.
 
Kama Mungu amemuinua ilinakomeshe ulevi na kuabudu sanamu kwa wakatoliki je. Au mtahakikisha mnapingana na Mungu
 
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.

Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Huko wataenda malofa tu...mtume rafiki yake bashite?..hahaha..acha ufala aisee
 
Kama Mungu amemuinua ilinakomeshe ulevi na kuabudu sanamu kwa wakatoliki je. Au mtahakikisha mnapingana na Mungu
Mungu wa wapi huyo wa kumuinua tapeli kama Mwamposa anayewauzia wajinga maji, mafuta na takataka nyingine kwa kuwaaminisha eti hizo takataka zina miujiza!!
 
Ukristu ni dini mbili.( in one)
Ukatoliki, and all the rest.
Wakatoliki wanaongea doctrine.
Hawa wengine wanafanya so- called " miujiza".
 
Mungu wa wapi huyo wa kumuinua tapeli kama Mwamposa anayewauzia wajinga maji, mafuta na takataka nyingine kwa kuwaaminisha eti hizo takataka zina miujiza!!
Kama.Mungu ameamua kumtuma hivyo hivyo unajuaje au we ni ndgu yake mungu
 
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.

Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Hao wanaokusanyika ni make wanaotaka shortcuts - miujiza. Watahangaika haika huko na matatizo yao yatabaki pale na pale na mwishowe watarudi nyumbani. Si wapotea njia mwishowe huipata tena?
 
Kuna swali unaweza kujiuliza, unapoenda kusali unapata nini baada ya wewe kuwapelekea hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…