Kwa hiyo kanisa katoliki haliamini kabisa kwamba Maonbi yanaondoa shida za mtu. Sasa mnaenda kanisani kufanya nini, kutoa sadakaHao wanaokusanyika ni make wanaotaka shortcuts - miujiza. Watahangaika haika huko na matatizo yao yatabaki pale na pale na mwishowe watarudi nyumbani. Si wapotea njia mwishowe huipata tena?
Hao wengine wanaenda kushangaa kwani hata fursa za kazi hakuna, wakipata kazi ya kufanya huwaoni wakienda kwa hao wasaka hela. Pia wengine wanaenda kubatisha zali kama kwenye bahati nasibu na akifanikiwa hawarudi tena. Vilevile wakishajanjaruka kuwa wananyanywa fedha zao kwa kuuziwa bidhaa za viwandani kwa bei juu eti imeombewa hawataendelea kununua. Ni suala la muda tu jamii iwafahamu na uongo wao watapotea na watumishi wa Mungu wa kweli watabaki.Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
We jidanganyeLeo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Hivi kweli Bahari unaweza kuilinganisha na bwawa au haujui unalinganisha nini, tembo umlinganishe na sungura au hujawahi kuona tembo??Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Mungu atainua mwingine.We jidanganye
RC ni taasisi
Mwamposa ni one man army
Siku akifa na kanisa limekufa
Likonwapi la Kakobe,liko la Mlima wa Moto
Huyo Mwamposa siku upepo na nyota vikikata na ndo kwaheri
Pambana na hali yako......Mungu ameinuliwa kupitia yeye
Kumbuka Mungu anasema.njia nyembamba ndo ya kumuendea yeye siyo njia pana ambayo kuna walevi, wahuni nk kama lilivyo kanisa katolikiHivi kweli Bahari unaweza kuilinganisha na bwawa au haujui unalinganisha nini, tembo umlinganishe na sungura au hujawahi kuona tembo??
Hizi takwimu zimepitwa na wakati,wazungu wameshaachana na dini,dini ipo africa na latin americaWatuwa wapi na wangapi na kwa sensa ipi! The catholic church is there to dominate
The Catholic Church, also known as the Roman Catholic Church, is the largest Christian church, with 1.28 to 1.39 billion baptized Catholics worldwide as of 2024.
Wanaenda kusaliHao wengine wanaenda kushangaa kwani hata fursa za kazi hakuna, wakipata kazi ya kufanya huwaoni wakienda kwa hao wasaka hela. Pia wengine wanaenda kubatisha zali kama kwenye bahati nasibu na akifanikiwa hawarudi tena. Vilevile wakishajanjaruka kuwa wananyanywa fedha zao kwa kuuziwa bidhaa za viwandani kwa bei juu eti imeombewa hawataendelea kununua. Ni suala la muda tu jamii iwafahamu na uongo wao watapotea na watumishi wa Mungu wa kweli watabaki.
Na ambao watakufa na kupotea tenaMungu atainua mwingine.
Sema siku uchawi ukikata hauoni kitu tena, Kakobe yuko wapi,We jidanganye
RC ni taasisi
Mwamposa ni one man army
Siku akifa na kanisa limekufa
Likonwapi la Kakobe,liko la Mlima wa Moto
Huyo Mwamposa siku upepo na nyota vikikata na ndo kwaheri
Wajasilia dini hao hakuna cha Kumtafuta Mungu wala nini.Kumbuka Mungu anasema.njia nyembamba ndo ya kumuendea yeye siyo njia pana ambayo kuna walevi, wahuni nk kama lilivyo kanisa katoliki
Endelea kupingana na Mungu. Mungu ana njia zake za kumkomboa mtu dhidi ya hilo li taasisi lenu linaloongozwa na mila za kipaganiWajasilia dini hao hakuna cha Kumtafuta Mungu wala nini.
AahaaaaSema siku uchawi ukikata hauoni kitu tena, Kakobe yuko wapi,
Wewe utakuwa ni msabatoEndelea kupingana na Mungu. Mungu ana njia zake za kumkomboa mtu dhidi ya hilo li taasisi lenu linaloongozwa na mila za kipagani
Unakosa mvutoo wewe au Kanisa?Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Point of correction. The Catholic Church is not The Roman Catholic Church.Watuwa wapi na wangapi na kwa sensa ipi! The catholic church is there to dominate
The Catholic Church, also known as the Roman Catholic Church, is the largest Christian church, with 1.28 to 1.39 billion baptized Catholics worldwide as of 2024.
Huu utafiti umeutoa wapi kijana.Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Tofauti ni Nini?Point of correction. The Catholic Church is not The Roman Catholic Church.
Mkuu, Ni Majengo ya kanisa Ulaya ndo yanageuzwa bar kila siku au Wakristo Wakatoliki ndo wanageuzwa? Tofautisha Kanisa na Majengo ya Kanisa.Ndo unadanganywa hivyo. Makanisa ukaya yanageuzwa bar kila siku