Kadri siku zinavyoenda kanisa katoliki linapotea slowly kwa sababu watu hawataki kusali kimprinsiple preiple.

Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.

Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Walikuepo akina kakobe wa full gospel, alikuepo akina Mzee wa upako, gwajima. Hivi sasa wako wapi
 
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.

Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Ujinga wa watanzania ni mtaji wa wajanja akina mwamposa.
 
Asante padre niliandika hii kama.null hypothesis nikitaka nopate comment kama hii
 
Catholic maana yake Nini?
 
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.

Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
Mwamposa nani anamjua duniani? Ingekuwa siyo JF wala singejua hiyo sijui Mwamposa
 
Ukisema mimi Mkatoliki utakuwa umeeleweka kabisa. Hakuna mtu atakuchanganya na Orthodox au Anglicana n.k. Mengine ni yenu kuona kwanini jina limehodhiwa. Hakuna utata hapo. Madhehebu mengine yanautambulisho wao wa pekee hata kama Wana mzizi wa Ukatoliki kama Orthodox. Halafu usichanganye Orthodox Church na Eastern Catholic Churches. Mashariki Kuna Kanisa la Orthodox ambalo halina ushirika na Papa. Na Eastern Catholic Churches ( makanisa) ambayo yanaushirika na Papa.
 
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Achana na Katoliki, wanachelewesha utajiri. Wahi udongo:

Your browser is not able to display this video.
 
Ndo unadanganywa hivyo. Makanisa ukaya yanageuzwa bar kila siku
Surely ulimaanisha Ulaya na si ukaya, haya tuambie Ulaya ya wapi kanisa limegeuzwa bar? Mwamposa na the likes walianzia kuhubiria majengo ya kukodi yalokuwa bar, unajua mwamposa alianzia wapi wakati akivaa pensi na cheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…