Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

Haki na usawa , Hivi hata ukiwa mbumbumbu wa namna gani , ni kweli huelewi kwamba Mahakama za Tanzania zinaamrishwa na watawala kufanya watakavyo ?
Mtu asie tambua haya mambo hakika uyo afatilii ni nini kinaendelea nchini mwake na inasikitisha tukianza kuwaeleza kujifanya wanashupaza shingo, mimi uwa napata hasira lakini hipo siku kitaeleweka tu maana ccm aitoki mpaka kinuke.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Nafasi ya mwenyekiti ni aidha Lissu au Heche. Ila kwa akili, Lissu yupo timamu.
 
Kafulila anafanya kazi nzuri Sana kwa sasa,

Kazi ya kuisemea serikali na chama bila posho. Sijui shaka na msigwa watafanya kazi gani. Kweli ameanguka , kutoka ukuu wa mkoa mpaka mchekeshaji wa Rais.
 

Lissu ni mwansheria Bora mpaka Magufuli akataka aache kugombea urais ampe kazi.
 

Tatizo wewe unaiongelea hiyo mahakama katika angle ya business na sio kisheria. Hiyo mahakama inatambulika kisheria na ipo chini ya mkataka wa kimataifa wa kuanzisha mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kiuwekezaji baina ya Host state na mwekezaji . Tanzania ilisaini makubaliano hayo mwaka 1992 na ilianza kuwa mwanachama tarehe 10 January 1992.
 
Lkn haina uhusiano wa yeye kusamehe. Vinginevyo maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Akiamua kujifungia kwenye gereza la chuki na kisasi, uamuzi unabakia mikononi mwa Tundu.

Atamsamehe Nani wakati hawajulikani?. Serikali haitaki kuwakamata, inataka mtu aliyekuwa kwenye comma mwezi mziama aje awasaidie upelelezi.
 
Hongera kwa kuonesha uhuru wako wa maoni. Lkn pole sana, maana chaguo lako halitakuwa la wengi.

Machaguo yangu ni mawili, Lissu au Heche. Kwa Lissu kuwa mwenyekiti inaweza kuwa ngumu maana yupo nje ya nchi. Ila kwa Sasa ili CHADEMA iende mbele tunamuhitaji Heche aliyeko ground.
 
Machaguo yangu ni mawili, Lissu au Heche. Kwa Lissu kuwa mwenyekiti inaweza kuwa ngumu maana yupo nje ya nchi. Ila kwa Sasa ili CHADEMA iende mbele tunamuhitaji Heche aliyeko ground.

Ni kweli, ila CDM, ingetambua mkondo na umuhimu wa nyakati hizi, ingepambana kutafuta na kuandaa president material. Maana binafsi naona mlango uko wazi kabisa.
 



Ndugu ICSID is an acronym for ‘International Centre for Settlement of Investment Disputes’; so uwepo wake ni kutatua migogoro ya kibiashara tu hawana kazi nyingine.

Kuwa mwanachama aina maana basi unaweza shitakiwa kiholela holela na mtu yeyote, ata wao wanakwambia case zao zina consent ya pande mbili kufunguliwa kwao. Sasa hayo mambo yanakuwa ndani ya mkataba ukitokea mgogoro uta tatuliwa wapi na pande zote mbili zina afiki.

Na kinacho dadaviwa huko ni contract terms nothing else to justify breach and award damages. Nchi wanachama wanaweza kadhia decision kama kukamata mali za mdaiwa baada arbitration ikishaamua final decision.

Huyo Lissu anawapotosha sana.
 
Ni kweli, ila CDM, ingetambua mkondo na umuhimu wa nyakati hizi, ingepambana kutafuta na kuandaa president material. Maana binafsi naona mlango uko wazi kabisa.

Nitajie majina mawili au moja la unayemuona ni presidential material tuanze kumweka mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…