hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Lissu ni raia wa Tanzania, ila watoto wake ni raia wa marekni wa kuzaliwa
Viongozi wengi watoto wao sio raia, wa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ni raia wa Tanzania, ila watoto wake ni raia wa marekni wa kuzaliwa
Nakubali mkuu, watu kama lissu ni wa muhimu sana kwenye taifa letu.Watu wenye akili za kawaida sometimes sio rahisi kuwaelewa watu wenye akili nyingi.
Mtu asie tambua haya mambo hakika uyo afatilii ni nini kinaendelea nchini mwake na inasikitisha tukianza kuwaeleza kujifanya wanashupaza shingo, mimi uwa napata hasira lakini hipo siku kitaeleweka tu maana ccm aitoki mpaka kinuke.Haki na usawa , Hivi hata ukiwa mbumbumbu wa namna gani , ni kweli huelewi kwamba Mahakama za Tanzania zinaamrishwa na watawala kufanya watakavyo ?
Guiltiness inakusumbua eeh?
Thanks so much mr judge cutter for pleading me guilty. I think now you'll 've a lovely wikend.
Endeleeni kumlisha chuki huyo Tundu.
Akili haipimwi kwa namna ambayo unaisema. Wapo wengi tu ambao wamemzidi kwa mbaali Tundu. Kuna vigezo vingine vingi tu vinavyoangaliwa.
Kwa sasa huwezi ukanielewa, mpaka mtakapofanya uchaguzi wenu wa Mwenyekiti ndiyo utanielewa. Maana nasikia Mbowe kasha sema basi.
Kafulila anafanya kazi nzuri Sana kwa sasa,
Nafasi ya mwenyekiti ni aidha Lissu au Heche. Ila kwa akili, Lissu yupo timamu.
Ya kuwa tunapelekwa kwenye arbitration ni kwa sababu ya wawekezaji kuogopa sheria za nchi husika. Sasa mbona kuna kesi za Saudia Arabia, Egypt, Italy, Spain, Hungry na other EU states ambazo kama ukubaliani na maamuzi ya mahakama zao unaweza kukataa rufa mpaka mahakama ya EU Brussel na bado zimepelekwa ICSID.
Ni hivi arbitration mara nyingi hasa kwa nchi za wenzetu huwa kwenye maelewano ya mkataba ukitokea mzozo namna utakavyoamuliwa.
Ebu kwanza google arbitrator chair huwa ni nani? normal judge au industry expert.
Lissu Nguli wa sheria kwako wewe.
Mimi najifunza misingi ya sheria kwa watu walioanzisha mijadala ya justice na concept zao zinatumiwa kwenye utungwaji wa sheria na kutoa haki mpaka leo. Sasa wewe katika hawa ushamsoma nani?
Or who exactly perspective of Justice is more attuned to your beliefs.
- Plato na maelezo yake ya distributive justice.
- Aristotle corrective justice
- Thomas Aquinas as social harmony
- Karl Max
- Chaim Perelman
- Jeremy Bentham
- John Stuart Mill
- John Rawls
- Robert Nozick
- Rudolph von Jhering
- Roscoe Pound
- Wesley Hohfeld
Lissu ni mwanasheria bora kwa viwango vyako sio kila mtu.
Mama wa chuki Ni CCM.
Arbitration sio public hearing kama mahakama unazozijua wewe, ni private hearing wanaoingia ni involved parties only.
Hakuna raia wala vyombo vya habari.
Like seriously haya mambo sio lazima ata uwe mwanasheria kuyajua kwenye masomo ya biashara na management degrees ni mandatory kufundishwa modules za ‘business law’, contract law or ‘dispute resolution process (which covers different ADR and their legal implication). Sasa katika hizo modules kama ukusoma zote basi walau ata moja ni mandatory nchi za wenzetu.
Arbitration ni ADR (alternative dispute resolution) its private sio mahakama kama tulizozizoea na inaendeshwa na industry expert husika in normal circumstances wote mnatakiwa mumuafiki.
Yaani ata hilo watanzania atuelewi na kila siku tunashitakiwa huko.
Lkn haina uhusiano wa yeye kusamehe. Vinginevyo maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Akiamua kujifungia kwenye gereza la chuki na kisasi, uamuzi unabakia mikononi mwa Tundu.
Wikend ndiyo nini?Thanks so much mr judge cutter for pleading me guilty. I think now you'll 've a lovely wikend.
Endeleeni kumlisha chuki huyo Tundu.
Hongera kwa kuonesha uhuru wako wa maoni. Lkn pole sana, maana chaguo lako halitakuwa la wengi.
Machaguo yangu ni mawili, Lissu au Heche. Kwa Lissu kuwa mwenyekiti inaweza kuwa ngumu maana yupo nje ya nchi. Ila kwa Sasa ili CHADEMA iende mbele tunamuhitaji Heche aliyeko ground.
Tatizo wewe unaiongelea hiyo mahakama katika angle ya business na sio kisheria. Hiyo mahakama inatambulika kisheria na ipo chini ya mkataka wa kimataifa wa kuanzisha mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kiuwekezaji baina ya Host state na mwekezaji . Tanzania ilisaini makubaliano hayo mwaka 1992 na ilianza kuwa mwanachama tarehe 10 January 1992.
Wikend ndiyo nini?
Ni kweli, ila CDM, ingetambua mkondo na umuhimu wa nyakati hizi, ingepambana kutafuta na kuandaa president material. Maana binafsi naona mlango uko wazi kabisa.