Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

Kafulila anajua vizuri kuwa mahakama zetu hazipo huru ila kwakuwa tumbo lake lipo mbele ya ubongo hana namna
 
Kafulila LISSU siyo level yako wewe bishana na akina nape, serukamba, Lijualikali etc
 
Mbona sheria ipo wazi. Contracting state inakuwa bound na hiyo convention iwapo itatokea investment dispute baina yake na foreign investor. Na ukisoma Article 25 (1) msingi wa Mamlaka wa hiyo mahakama ni migogoro ya uwekezaji.
Soma zaidi utaona kuna maelezo ili upeleke dispute, lazima kuwe na consent ya pande mbili.

Ukurupuki tu kila disagreement ukaipekeka.

Ni hivi kuelewa how arbitration work inabidi uwe na uelewa wa contract law, dispute resolutions and ADR steps.

Lissu ana audience yake ya kuichota, akili, msiopenda kujiongeza.
 
Rais juzi akiongea na mawakili wa Afrika mashariki alusemaje?

Kwamba nyie tumieni sheria zenu za nje mie nita tumia sheria zangu kuhakikisha.

Huu ndio ushahidi kwamba mahakama zetu ziko mikononi mwa dola. Na haziko huru.
CCM kusoma hawajui basi hata kusikia sauti hawawezi Kafulilaaaa ni nini? au ndio kupambania cheo?

Basi mwelekezeni Bi'mkubwa awe anatafakari kabla ya kuongea oneni sasa sijui wanakataa nini halafu wanakubali nini CCM hawajielewi kabisa Hovyooo!
 
Nitajie majina mawili au moja la unayemuona ni presidential material tuanze kumweka mbele.

To be honest, sijaona. Ila pia jihadharini msije mkaingia kwenye mtego wa mwaka '15, kudhani wale wa kutoka upande ule wanaweza kufaa. Tena mnawachukua dk za mwisho.
 

Punguza majivuno nani kachotwa akili?

Tofautisha jurisdiction na requirement.

Jurisdiction ya hiyo mahakama ipo kwenye Migogoro ya kisheria ya uwekezaji.

Na requirement ya kufungua shauri lazima kuwepo na consent\ ridhaa ya kuleta shauri kwenye hiyo mahakama. Ukisoma hiyo Convention vizuri utagundua kwamba nchi inapokuwa member wa hiyo ICSID inakuwa automatically imejibind kupeleka au kupelekewa kwa ajili ya usuluhishi migogoro ya kiuwekezaji.

Hivyo Tanzania kwa kukubali kuwa mwanachama ICSID , moja kwa moja au automatically ame consent kutumia hiyo mahama.

Na foreigner anaweza kutumia compromis, Yani documents zake za kufungua madai kwa kuweka kipengele Cha consent.
 
To be honest, sijaona. Ila pia jihadharini msije mkaingia kwenye mtego wa mwaka '15, kudhani wale wa kutoka upande ule wanaweza kufaa. Tena mnawachukua dk za mwisho.

Hapana Mimi nakataa ule ulikuwa sio mtego, ni rostam aliharibu mambo kwa kuogopa report ya Mali za CCM na kuamua kumburuta Lowassa kirudi CCM. Pia approach ya Magufuli ili weaken opponents, wengi kutokana na kukaa CCM muda mrefu na madudu yao wakaogopa kukaa upinzani na kukimbia.

Pia lazima ujue Lowassa alikuwa na nguvu Sana ya kisiasa hivyo CHADEMA hawakuona mwenye ushawishi zaidi yake. Ndio maana pamoja na sheria zetu mbovu na Time ya mchongo Magufuli alipata asilimia 58% na CHADEMA asilimia 40%.

Lazima tukubali kwamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa na mpamabano mkali Sana. Ingekuwa tuna level playing ground na Tume huru habari ingekuwa tofauti.
 
Kwetu umefika muda wa kufanya mambo mengine. .

Kwa sasa hivi wizara ya nishati ina malizia mkataba wa LNG moja ya terms za makubaliano ni ‘stabilisation clause’ mwekezaji huko anataka kukingwa na sheria za baadae zitakazo athiri investment zake na hatua za kutatua mgogoro in the future hadi suluhisho lipatikane.

Baada ya hapo atakuwa ame jifunza kitu atakuja kwenye TV kama kawaida yake kuleta ujuaji all of a sudden na kukuelezea how ADR works up to highest level which is arbitration.

Maana hayo mambo yameanzia huko huko kwenye migogoro ya mikataba ya mafuta in the 1960’ hadi kuanzishwa kwa arbitrations, opec, stabilisation clauses and the evolution of oil and gas contracts.

Sasa hadi uelewe hayo mambo inabidi uwe na historical contents pia.

Kwa kumaliza ukitaka kujifunza what is ADR, its enforcement and jurisdiction ni wewe na ukiamua kusikiliza upotoshaji wa Lissu and remain with wrong premise on the subject ni wewe pia.


As for me 👋
 

Niseme tu huelewi unachokiongea. Nimemaliza
 

Umenikumbusha ule mnyukano ulivyokuwa mkali. Kutoka ndani ya kijani mpaka huko nje.
Tungekuwa na aina ya mtu kama Dr. Slaa wa miaka ile kabla ya kuingia CCM angefaa sana.

Kwa ujumla sisi kwa sasa tuko sawa na marekani, hatuma wagombea wa ukweli.
 
Niseme tu huelewi unachokiongea. Nimemaliza
Kuelewa hayo mambo soma post yangu tena.

Inabidi hurudi hadi kwenye migogoro ya Mafuta yaliyowanyan’ganya the so called ‘seven sisters’ uhalali wa kumiliki mafuta ya nchi zingine.

Ndio mambo yote yalipoanzia na mikataba inavyotengenezwa.

👋
 

Kwa heri kazi njema.
 
Ile kingereza mbuzi yako mbona umeisitisha?

Nimeisitisha wapi!? Nimekuambia hapo nimejitahidi, maana mimi siyo mUingereza damu kama wewe. Mara unaanza kuruka ruka, eti nani, mimi, wapi, lini!?
Mbona unaruka ruka ewe mfia kiingereza wa Uingereza!?
 
Tumbili anahaha arudishwe kulamba asali [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…