Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingereza mbuziSawa mr trivial brain, of the whole post, you have only noted wikend in error term.
Okay, now replace wikend with weekend.
Soma zaidi utaona kuna maelezo ili upeleke dispute, lazima kuwe na consent ya pande mbili.Mbona sheria ipo wazi. Contracting state inakuwa bound na hiyo convention iwapo itatokea investment dispute baina yake na foreign investor. Na ukisoma Article 25 (1) msingi wa Mamlaka wa hiyo mahakama ni migogoro ya uwekezaji.
Kingereza mbuzi
CCM kusoma hawajui basi hata kusikia sauti hawawezi Kafulilaaaa ni nini? au ndio kupambania cheo?Rais juzi akiongea na mawakili wa Afrika mashariki alusemaje?
Kwamba nyie tumieni sheria zenu za nje mie nita tumia sheria zangu kuhakikisha.
Huu ndio ushahidi kwamba mahakama zetu ziko mikononi mwa dola. Na haziko huru.
Nitajie majina mawili au moja la unayemuona ni presidential material tuanze kumweka mbele.
Soma zaidi utaona kuna maelezo ili upeleke dispute, lazima kuwe na consent ya pande mbili.
Ukurupuki tu kila disagreement ukaipekeka.
Ni hivi kuelewa how arbitration work inabidi uwe na uelewa wa contract law, dispute resolutions and ADR steps.
Lissu ana audience yake ya kuichota, akili, msiopenda kujiongeza.
To be honest, sijaona. Ila pia jihadharini msije mkaingia kwenye mtego wa mwaka '15, kudhani wale wa kutoka upande ule wanaweza kufaa. Tena mnawachukua dk za mwisho.
Kwetu umefika muda wa kufanya mambo mengine. .Punguza majivuno nani kachotwa akili?
Tofautisha jurisdiction na requirement.
Jurisdiction ya hiyo mahakama ipo kwenye Migogoro ya kisheria ya uwekezaji.
Na requirement ya kufungua shauri lazima kuwepo na consent\ ridhaa ya kuleta shauri kwenye hiyo mahakama. Ukisoma hiyo Convention vizuri utagundua kwamba nchi inapokuwa member wa hiyo ICSID inakuwa automatically imejibind kupeleka au kupelekewa kwa ajili ya usuluhishi migogoro ya kiuwekezaji.
Hivyo Tanzania kwa kukubali kuwa mwanachama ICSID , moja kwa moja au automatically ame consent kutumia hiyo mahama.
Na foreigner anaweza kutumia compromis, Yani documents zake za kufungua madai kwa kuweka kipengele Cha consent.
Kwetu umefika muda wa kufanya mambo mengine. .
Kwa sasa hivi wizara ya nishati ina malizia mkataba wa LNG moja ya terms za makubaliano ni ‘stabilisation clause’ mwekezaji huko anataka kukingwa na sheria za baadae zitakazo athiri investment zake na hatua za kutatua mgogoro in the future hadi suluhisho lipatikane.
Baada ya hapo atakuwa ame jifunza kitu atakuja kwenye TV kama kawaida yake kukuelezea how ADR
WapiHata hivyo najitahidi sana. Maana mimi siyo muingereza kama wewe.
Hapana Mimi nakataa ule ulikuwa sio mtego, ni rostam aliharibu mambo kwa kuogopa report ya Mali za CCM na kuamua kumburuta Lowassa kirudi CCM. Pia approach ya Magufuli ili weaken opponents, wengi kutokana na kukaa CCM muda mrefu na madudu yao wakaogopa kukaa upinzani na kukimbia.
Pia lazima ujue Lowassa alikuwa na nguvu Sana ya kisiasa hivyo CHADEMA hawakuona mwenye ushawishi zaidi yake. Ndio maana pamoja na sheria zetu mbovu na Time ya mchongo Magufuli alipata asilimia 58% na CHADEMA asilimia 40%.
Lazima tukubali kwamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa na mpamabano mkali Sana. Ingekuwa tuna level playing ground na Tume huru habari ingekuwa tofauti.
Wapi
Nani
Lini
Kuelewa hayo mambo soma post yangu tena.Niseme tu huelewi unachokiongea. Nimemaliza
Kuelewa hayo mambo soma post yangu tena.
Inabidi hurudi hadi kwenye migogoro ya Mafuta yaliyowanyan’ganya the so called ‘seven sisters’ uhalali wa kumiliki mafuta ya nchi zingine.
Ndio mambo yote yalipoanzia na mikataba inavyotengenezwa.
👋
Ujumbe umeupokea hahaNa wewe Tumbili acha uchawa basi!
Ile kingereza mbuzi yako mbona umeisitisha?MUingereza vip tena unaanza kuruka ruka. Kwani wewe si mfia kiingereza!?
Ile kingereza mbuzi yako mbona umeisitisha?