US na France wanampa jeuri huyo malaya, acha tu aendelee kuuwa waTanzania, mwisho wake haupo mbali..
 
M23 ni Wanyarwanda?
Ndio wanatoka rwanda na wanapigana kwa maelekezo kutoka kigali..kwanini wasiende kupigana Kinshasa au lubumbashi kwanini wasumbue goma tu.. na silaha wanapata wapi training wanatoa wapi kwanini wakizidiwa wanakimbilia rwanda.. miaka yote hii toka kuanzishwa kwa hili kundi na yale ya nyuma nani anawafadhiri kiasi cha kuweza kumudu vita kwa mihongo 2.
Msitufanye sisi watoto..
 
Alaa kumbe Banyanulenge ni wanafoka Rwanda au siyo?
 
Africa ni laana tupu, badala ya kuungana sisi ni kupigana tu muda wote
Madini ya Dhahabu yaliyojaa pale Congo bababek hata ungukea wewe ndio Kagame lazima sura ingekutoka na mimacho kumchuzi na unaowatuma unasema sijawatuma tena ukiwa umetoa jicho huku ukija nyuma unakomba tu dhahabu
 
Dawa ya kumaliza vita huwa ni kuwaua waasimu tu huwa hawazidi wawili ili kuokoa wengi wakiuliwa wao huwezi sikia ujinga unaondelea sudani kusini au Congo
 
Madini ya Dhahabu yaliyojaa pale Congo bababek hata ungukea wewe ndio Kagame lazima sura ingekutoka na mimacho kumchuzi na unaowatuma unasema sijawatuma tena ukiwa umetoa jicho huku ukija nyuma unakomba tu dhahabu
Mbona wakoloni hawakutaka kuiba madini yetu kipindi wanatutawala?
 
Aliingia huko South na akamuua adui yake na wauaji wakatoka salama.. Anajiamini anammudu Ramaphosa. Kapandikiza watu wake wa kutosha sana
Kwahiyo ndo ataweza kupigana km wakiamua wazichape?
 
Unasema uongo na umeongeza chumvi sana- huwezi puuza mchango wa Tanzania katika mchakato wa ukombozi kusini mwa Afrika.
 

 
Nimeishi south Africa miaka mi5 na nilifikia ktk mjengo wanaoishi wanyarwanda wengi, nilichokiona ni ushahidi Tosha kuwa kagame anajua anachokiongea anakimudu.

Yapo makundi mawili ya kinyarwanda pale SA na moja Kati yao ni team kagame ambao miongoni mwao ni raia wa south Africa tayari na wanafanya kazi serikalin
 
SA hawawezi kuifanya chochote Rwanda kwa sasa. PK siyo mpumbavu anajua anachokifanya.
 
South Africa wanatengeneza vifaru, missiles, ndege za kivita na silaha mbali mbali.





Hii ndege aina ya Gripen kutoka Sweden kuna baadhi ya vifaa vyake vinatengenezwa South Africa.



Denel Rooivalk ni helikopta ya kivita iliyotengenezwa Afrika Kusini. Inachukuliwa kuwa mojawapo ya helikopta bora zaidi ya mashambulizi duniani. Hii ndege inababeba cannons, missiles, na rockets. Wanazo 11 hizi ndege.

Hii helikopta ina advanced navigation na targeting systems, na mifumo ya kujilinda.




Hii tank inaitwa Olifant ikiwa na maana ya tembo kwa kiswahili, ilitengenezwa South Africa na wanazo karibu 200.




Hizi ni ndege aina ya Atlas Cheetah ambazo zina variants tofauti tofauti, Ndege hii iilitengenezwa South Africa, Mradi wa Atlas Carver ulianzishwa ili kujenga ndege ya kivita ya kizazi cha nne ambayo inaweza kushindana na washindani kama vile MiG-29 na F-16.
Project hii ilisimama, na baadhi ya ndege ziliuzwa Equador na Chile, Hata majeshi ya NATO walishafanya mazoezi wakitumia hizi Atlas Cheetah fighter jets.



G6 Rhino.
Hii ni howitzer imetengenezwa South Africa, ni howitzer inayoweza kujongea yenyewe pasipo msaada wa usafiri.
Inaweza kupiga target hadi kilomita 70. Hizi howitzer wanazo zaidi ya 40.



Hii ndege inaitwa Mwari inatengenezwa South Africa, kazi zake ni surveillance, reconnaissance na counter-insurgency aircraft n.k baadae serikali ya US iliingia mkataba na Paramount Group kutengeneza ndege inaitwa bronco II ambayo ni updated version ya Mwari.

Hivi ni baadhi ya silaha na vifaa vya kivita ambavyo South Africa wanatengeneza wenyewe, tukiweka hapa vyote ni vingi.

Hivi Kagame kweli anaweza kabiliana na SA kijeshi?
 
Huyu kagame dawa yake alikuwa kikwete, alimbana mbavu kila sehemu kuanzia huko jumuia ya kimataifa hadi huko congo jwtz walikuwa wanamtia adabu akawa analialia kama malaya ambaye kagongwa bila ya kulipwa
 
Vita sio porojo na vifaa tu, hamas wawasumbua wazayuni mpaka leo japo wazayuni wana kila silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…