Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congo ni ya 8 na inahenyeshwa na M23Yap,
Halafu Tanzania ni ya 15
Wamtokomeze na anayewatumaAmani iwe nanyi wapendwa wa MUNGU
Ni mda si mrefu kikao cha SADC kimemalizika na wameahidi kuleta aman kongo
Na huenda watatuma majeshi kwa ajili ya kupambana na m23
Tuombeane Aman, tuwaombee aman watu wa Kongo
=================
Mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umesema lengo la wanachama wa jumuiya hiyo ni kuona amani inarejea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zimbabwe, Dk Emmerson Mnangagwa ambaye ni Mwenyekiti wa SADC wakati wa mkutano wa dharura wa jumuiya hiyo ulioitishwa jijini Harare kwa lengo la kujadili kutetereka kwa amani DRC.
Soma Pia: M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha
Hali ya usalama ilianza kuyumba DRC baada ya kundi la waasi wa M23 kuanza uvamizi na kuyashikilia maeneo ya mashariki mwa DRC ikiwemo mji wa Goma.
SAYUNI BOY
Amani iwe nanyi wapendwa wa MUNGU

Kikao sadc kimetanguliwa na vitendo on ground, burundi kapeleka askari muda tu kama siku nne hivi zilizopita, south juzi kapeleka fighter jets na raia wameona hekaheka za wajeda,kuna kifinyo kinakujaM23 nawo wanajipanga kuingia mji wa Kinshasa..baada ya kutoka miji ya mikakakati Kam Goma na uko ruchuru.
Jamaa kama Wana morali ya hali ya juu...ni mwendo wa kuadvance Kwa njia zote extended line or single lines.
Utashangaa mpaka SADC wanakuja kujipanga Nchi ishaenda kwa wanjamulenge.
Uzungumze na wahuni!Kuipiga m23 si suluhisho watumie meza ya mazungumzo