inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Akinuna itasaidia nini?Chura ana cheka cheka tu kama zombie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akinuna itasaidia nini?Chura ana cheka cheka tu kama zombie
Niliwahi kusema RDF ni jeshi Bora ukanda huu wa Afrika ila watu wasio jua mambo ya medani wakakaza makomwe na mapovu na kunitukana.Amani iwe nanyi wapendwa wa MUNGU
Ni mda si mrefu kikao cha SADC kimemalizika na wameahidi kuleta aman kongo
Na huenda watatuma majeshi kwa ajili ya kupambana na m23
Tuombeane Aman, tuwaombee aman watu wa Kongo
=================
Mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umesema lengo la wanachama wa jumuiya hiyo ni kuona amani inarejea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zimbabwe, Dk Emmerson Mnangagwa ambaye ni Mwenyekiti wa SADC wakati wa mkutano wa dharura wa jumuiya hiyo ulioitishwa jijini Harare kwa lengo la kujadili kutetereka kwa amani DRC.
Soma Pia: M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha
Hali ya usalama ilianza kuyumba DRC baada ya kundi la waasi wa M23 kuanza uvamizi na kuyashikilia maeneo ya mashariki mwa DRC ikiwemo mji wa Goma.
SAYUNI BOY
Mwanzo walikua wanalinda AMANI sasa wanaenda KUPIGANAHao Sadc si walikuwepo Goma na walikua kwenye izo operation..!! Ilikuaje wakachezea kichapo na kuruhusu M23 kuchukua Mji mzima?
Unajua umbali wa kutoka Goma mpaka Kinshasa..!?M23 nawo wanajipanga kuingia mji wa Kinshasa..baada ya kutoka miji ya mikakakati Kam Goma na uko ruchuru.
Jamaa kama Wana morali ya hali ya juu...ni mwendo wa kuadvance Kwa njia zote extended line or single lines.
Utashangaa mpaka SADC wanakuja kujipanga Nchi ishaenda kwa wanjamulenge.
Hili nililitegemea na hapa ndipo kagame alipopigwa chenga ya mwili na tshekedi yeye alitegemea akivamia goma tshekedi atakuja kulia EAC.
Ila hakujua tshekedi na wanaomuunga mkono waliona kabisa EAc haitaweza hili ila yupo mwamba mkubwa zaidi SADC.
Sasa SADC itapewa mamlaka kamili ya kushambulia waasi hao m23 ili kuukomboa mji wa goma na Congo.
Ila PK ajiandae pia maneno yake yamewakera marais wengi wanamlia rada tu.. mjivuni mno na anajiona anaweza kila kitu.
1700kmsUnajua umbali wa kutoka Goma mpaka Kinshasa..!?
Dar-bukoba mpaka uganda1700kms
Sasa iyo aman wanayolinda iko wapi? Mbona wanajeshi wameuliwa na wananchi wanakufa? Ni aman gan iyo wanayolinda?Mwanzo walikua wanalinda AMANI sasa wanaenda KUPIGANA
Mada yoyote ikisha muhusu Paulo watu wataacha kuijadili wanamjadili yeye 🤣 sasa sijui ni uelewa au ni kitu ganiKama Ramaphosa anaongea ujinga unataka Kagame anyamaze?
Kuna mdau ameanzisha uzi na kuweka details kuwa kuna wanajeshi wameasi huko Congo na kuwa pamoja na M23.M23 nawo wanajipanga kuingia mji wa Kinshasa..baada ya kutoka miji ya mikakakati Kam Goma na uko ruchuru.
Jamaa kama Wana morali ya hali ya juu...ni mwendo wa kuadvance Kwa njia zote extended line or single lines.
Utashangaa mpaka SADC wanakuja kujipanga Nchi ishaenda kwa wanjamulenge.
Mkuu watu wanaenda vitani then wakifa ulitaka magu afanyeje?Kipindi cha magu kagame aliua askari wetu huko drc na magu akufanya chochote,pk mtu aliyekua anamuogopa hapa TZ ni membe
Nakubaliana na wewe chief. Kagame hatumpendi lakini ana akili sana ya kupigana vita kuliko mtu yeyote Japa Afrika.Aliingia huko South na akamuua adui yake na wauaji wakatoka salama.. Anajiamini anammudu Ramaphosa. Kapandikiza watu wake wa kutosha sana
Kumbuka JW wako kule ,kwa muziki huu wa m23 iliyoboreshwa wametumia busara kuwa watazamajiNakuunga mkono asilimia 1000 kwani madaraka kupita kiasi hulevya kupita kiasi. Kagame akumbushe kilichompata nduli Idi Amin alipoichokoza na kuichokonoa Tanzania. Awaulize wareno kilichowapata Angola na Msumbiji.
Hahahaaa.....nimecheka kwa sauti. Kagame amejijenga kijeshi na urafiki wa njeUkiona panya anamkejeli paka ujue shimo lake lipo karibu
Huyu watu hawajamuamulia tu!
Akianza kupigwa ataanza kulialia jumuiya za kimataifa kutafuta huruma.
Sidhani kama una uhakika na hiloVita ni teknologia, Rwanda hana ubavu wa kupambana na South Africa. Rwanda hana Air defensive yeyote, ukirusha ata jiwe linaingia na kupiga popote pale. Ni mkwara mbuzi tu