M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,039 Reaction score 1,584 Feb 2, 2025 #321 Lishe01 said: Hahahaaa.....nimecheka kwa sauti. Kagame amejijenga kijeshi na urafiki wa nje Click to expand... Hasa huo urafiki wa nje kwa sababu anawapatia madini nyeti yanayoibwa kutoka kongo
Lishe01 said: Hahahaaa.....nimecheka kwa sauti. Kagame amejijenga kijeshi na urafiki wa nje Click to expand... Hasa huo urafiki wa nje kwa sababu anawapatia madini nyeti yanayoibwa kutoka kongo
Hammaz JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 6,607 Reaction score 14,076 Feb 2, 2025 #322 Lishe01 said: Kwanza tujiulize, Silaha za Rwanda na Uganda zinapitia mpaka upi? Click to expand... Zinapitia Kenya na Tanzania.
Lishe01 said: Kwanza tujiulize, Silaha za Rwanda na Uganda zinapitia mpaka upi? Click to expand... Zinapitia Kenya na Tanzania.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 2, 2025 #323 Hatari sana... Cc: Mahondaw