Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Wahaya wanajielewa hawataki wajinga kama.wewe,na wako proud na asili yao.

By the way mimi sio mhaya ila nimeishi nao sana tu,just hakikisha una blend in kwenye jamii yoyote ili mambo yako yaende,huwezi unaondoka tu.
 
Wahaya wanajielewa hawataki wajinga kama.wewe,na wako proud na asili yao.

By the way mimi sio mhaya ila nimeishi nao sana tu,just hakikisha una blend in kwenye jamii yoyote ili mambo yako yaende,huwezi unaondoka tu.
Okay! Bukoba umekaa miaka mingapi?
 
Kwa nini stand ya mkoa ni ya vumbi mpaka karne hii.kama siyo un umburura wa wahaya. Kubalini kukosolewa na muache jeuri. Mtu wa pili akikukosoa jua kuna shida mahali huwezi kujikosoa mwenyewe ni Ngumu utajiona sahihi mda wote.
 
Kwa nini iwe Kagera Tu na siyo mkoa mwingine?
 
Majibu na hasira zako ni ushahidi tosha kwamba mtoa mada yupo Sahihi 100%. Wahaya hata nje ya Bukoba ni vimeo tu
 
Brother acha kubishana na hawa jamaa waache walivo watakuchosha bure hakuna anaetoa point ya kujenga kuanzia mtoa uzi, wote wanaleta hoja za chuki tu wanataka kuturudisha enzi zile za ukabila ambazo sasa hazina mantiki kwenye ulimwengu wa waliostaarabika. So achana nao.
 
Kipindi naishi Bk club yangu ilikuwa Linaz na ile club iliyopo lile ghorofa la Rwabizi
Pia

Kipindi nakaribia kuhama kuna ile club karibu na crdb bank nimesahau jina

Bar yangu ilikuwa Q Bar, kuna bar moja iko hamghembe barabarani hivi nimesahau jina,baadaye nikahamia ile motel ipo pale daraja la kwenda hamghembe na pale karibu kulikuwa na ofisi za Friends bus

Nimeishi Hamghembe na Migera

Nilikuwa na rafiki wa kihaya ambaye pia alikuwa anamiliki barbershop kubwa tu hapo mjini bukoba na ndiye alikua mwenyeji wangu


Nimefanya biashara kwa zaidi ya miaka minne so naifahamu bukoba vizuri

Nimeishi bukoba zaidi ya miaka mitano


Uchawi Bk na Kagera kwa ujumla upo sana tu
Wivu kwa wageni ni mkubwa sana

Nimebahatika kuishi Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar es salaam, Mwanza ,Arusha na Kagera kwa wilaya ya bukoba

Ukweli mtupu umeongelewa 100%
 
Wahaya acheni sasa majungu, majivuno, ukabila na ujuaji ili msonge mbele. Usomi mliojivunia miaka 50 iliyopita kwa sasa haupo tena, hadi wakwere sasa wamekwenda shule sana na wanawazidi.
 
Mama Anna Tibaijuka ni mhaya, msomi wa hali ya juu, mdau mkubwa wa maendeleo ya mkoa wa Kagera, miaka miwili iliyopita alitoa andiko, ambalo mpaka leo hii linaishi, alisema kwa sasa kimaendeleo Kagera imekufa na inaelekea kuzikwa! Wito wake ulikuwa wenyeji wa Kagera waamke upya na kuungana pamoja waende kuifufua.
 
Washindani wakuu wa maendeleo ya Wahaya na mkoa wa Kagera ni wachaga na mkoa wa Kilimanjaro, sasa kwa namna wachaga wameendelea kuwa mbele mnoo kimaendeleo. Kuanzia Elimu bora, Kipato, Maisha bora na huduma bora za kijamii wachaga na mkoa wao wa Kilimanjaro vimekuwa mfano wa kuigwa halafu wahaya na Kagera yao wamedumaa unabaki kujiuliza shida iko wapi?
 
Ww ni mhaya?,Umeongea kutetea hoja 2 Tu Bukoba hata pato la Taifa wako mwishoni ila utaskia ina Watu mashuhuri kama Tunajijua,Nshengela,Kimei n.k
 
Kwa sasa wahaya wengi waliofanikiwa kimaisha wako miji ya mikoa mingine, huko wameoa, kujenga na kuwekeza, hawataki tena kurudi uhayani, wamekimbia mazima!
 
Wachaga napoona wanawazidi wahaya ni padogo Tu wachaga wanaushirikiano,fursa ikiwepo wanashtuana ndio maana wanafanikiwa ..Mafanikio hayapimwi kwa vitu vikubwa ila vidogo vidogo vinavyozaa vikubwa
 
Ukiwa mgeni kama umefungua biashara hawaji kununua kwako na kama una bidhaa flani na haipo kwa wenyeji basi wataongea kirugha ili ikajumuliwe bidhaa na mwenyeji ili wajiungishe wao
Upo sahihi 100%! Kuna jamaa humu anawatetea wahaya wenzake! Ila kwa tulioishi kule tunajua tabia zao! Wana tabia mbovu sana ambazo makabila wengine hawana!

Kuna jamaa zangu kipindi hicho wameenda kununua Samaki kuna beach moja inaitwa Kiroyera kwa chini hivi huwa Jioni jion kuna samaki (sato, Sangara) kaenda jamaa yangu kununua Sato alipigwa bei kubwa baadae wakiwa wanaangalia pengine kaja muhaya mwenzao wakampa kwa bei Pungufu ali mind sana.

Kule hata kiwanja ukiwa wewe ni mgeni huwezi pata kiwanja wana umwinyi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…