and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Leo ndipo nimeelewa kwanini mzee wangu kipindi nipo mdogo alinambia 'usije kuoa mhaya' hahahhh
Kumbe ndio mambo haya..
Kumbe ndio mambo haya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahaya wanajielewa hawataki wajinga kama.wewe,na wako proud na asili yao.unisamehe Mhaya japo ukweli mchungu! ila kule kwenu hapana kabisa sio sehemu salama kwa mgeni... mna majina yenu mmepachika mgeni sijui anaitwa "Mnyamahanga" kama sijakosea.
Mna ubaguzi sana mgeni akienda kule anaweza jiuliza hivi hii ni tanzania?
Mara mia mtu aende kuishi usukumani sio huko...! Kule mlichojaliwa ni hali ya hewa nzuri, ukijani ule na kula sato na sangara fresh.
Okay! Bukoba umekaa miaka mingapi?Wahaya wanajielewa hawataki wajinga kama.wewe,na wako proud na asili yao.
By the way mimi sio mhaya ila nimeishi nao sana tu,just hakikisha una blend in kwenye jamii yoyote ili mambo yako yaende,huwezi unaondoka tu.
Kwa nini stand ya mkoa ni ya vumbi mpaka karne hii.kama siyo un umburura wa wahaya. Kubalini kukosolewa na muache jeuri. Mtu wa pili akikukosoa jua kuna shida mahali huwezi kujikosoa mwenyewe ni Ngumu utajiona sahihi mda wote.Hapa unadhihirisha ni namna gani ulivyoandika ili kujionesha unajua kuandika mihemko uliyonayo na members wamekuprove wrong. Rejea ulichoandika kwenye thread yako na ulichokiri hapa.
Thread yako nikianza kuichambua kipengele kwa kipengele utajiona ni namna gani ulivyo jinga kama ulivyoanza kujionesha hapa maskini mkubwa wewe.
Unaongelea ardhi kuuzwa bei ghali na wakati huo huo unasema hakufai. Sasa hiyo ardhi ulitaka kununua ili ikufaidishe namna gani wakati hakufai? Kwanini uhangaike na pasipo faa badala ya kuhangaika na ardhi ya kwenu kunakofaa au sehemu nyingine?
Kwanza unapaswa kuelewa ya kwamba huko hakuna eneo wazi lisilo na mwenyewe na usidanganyike kuona unapita sehemu kuko wazi na kumezungukwa na miti ya kupanda ukafikiri hakuna matumizi, pole sana. Hiyo kijani unayoiona haipo kwa bahati mbaya bali ni jitihada za jamii husika kutunza uoto wakipata support pia ya mvua. Ukifika sehemu tumia muda wako kuijua na si kujibeba beba na thread zisizokuwa na mbele wala nyuma.
Ungeongelea suala la siasa huko labda ningekuelewa lakini mengine unapuyanga puyanga kwenye umande.
Kwa nini iwe Kagera Tu na siyo mkoa mwingine?Sema huna hela kilaza wewe kwa maana mwenye hela zake anajua wapi pa kulala na huwezi ona anakuja hapa kuandika kwamba nawaza pa kulala.
Hivi mpaka sasa bado unasimama na takwimu za NBS ambayo wakusanya takwimu wao ni wale tulioonyeshwa kwamba walikuwa wanajaza takwimu wanazozijua wao kwenye madodoso waliyopewa wakiwa vyumbani mwao wakati wanafanya utafiti wa matumizi ya kaya binafsi?
Kwanza unajiita Econometrician ikimaanisha una uelewa wa uchumi na takwimu sasa twambie kutokana na takwimu hizo za NBS ni variables zipi zilitumika kujustify hilo. Takwimu ni takwimu tu lakini kuzichambua na kuzielewa ni kitu kingine kabisa na hapo ndipo unakutana na hizo mambo za sijui NBS imesema, n.k.
Mwaka jana nilishiriki kwenye kisemina fulani cha utoaji wa matokeo ya sensa na matumizi yake kwa baadhi ya maeneo ambayo walikuwa wametoa matokeo.
Ni kwamba hata watumishi wa NBS wenyewe hawaelewi hizo data wanazotolea matokeo zina maana gani na zinatumikaje kwa sababu wawasilisha taarifa yapo maswali waliulizwa lakini wakashindwa na wakaishia kutwambia takwimu zipo hivyo kama zilivyo hivyo tusihoji sana.
Kuna tafiti za matumizi ya kaya binafsi ambayo yanaonyesha watu wa mkoa X wanatumia pesa kununua kila hitaji la nyumbani kutoka dukani na watu wa mkoa Y wanapata mahitaji yao shambani moja kwa moja kwa asilimia 90 na 10 ni kutoka dukani. Ukiwaangalia hawa matumizi yao ya pesa ni tofauti kabisa lakini matokeo ya NBS yanakwambia wapo kwenye kapu moja na kwamba anayepata mahitaji yake kutoka dukani kwa asilimia 10 tu ni maskini wa kipato ukilinganisha na anayepata mahitaji yake kutoka dukani kwa asilimia 100 bila kutwambia spendings zao kwenye maeneo mengine zikoje kutokana na savings wanazozifanya
Majibu na hasira zako ni ushahidi tosha kwamba mtoa mada yupo Sahihi 100%. Wahaya hata nje ya Bukoba ni vimeo tuUnaona ulivyojinga na kiazi mbatata sasa kwahiyo mpaka hapo unafikiri kuna unachojua. Pole sana na nitakukanda mpaka ujue kwamba ukiandika ujinga utajua ujui na mpaka hapo umeendelea kudhihirisha ulivyo jinga na ndiyo maana nimekwambia wajinga kama wewe ndiyo wanatumwa maana IQ yako iko zero kabisa. Ukiona unahangaika kuwa na sijui voice notes za watu ujue ni udhihirisho tosha wa kutokuwa na akili kama wewe hapo. Wenye akili ndiyo watanielewa siyo wewe kiazi mbatata
😂Kaliye manaKaliye mpali............unareta madafaka hapa jukwaaani
Nakumbuka Kokufatuma aliwahi nipiga hii kitu lakini nika escape Dah ila Bkkyoma... mambo vipi?😅😅
unaijua shuntama?
Bukoba ilitaka kunimeza na hio dawa ya mapenzi😂😂
Brother acha kubishana na hawa jamaa waache walivo watakuchosha bure hakuna anaetoa point ya kujenga kuanzia mtoa uzi, wote wanaleta hoja za chuki tu wanataka kuturudisha enzi zile za ukabila ambazo sasa hazina mantiki kwenye ulimwengu wa waliostaarabika. So achana nao.Sema wewe ndiye omba omba na ulienda kwao wakakuona hamnazo na unaandika hapa ili usijulikane kwamba ulienda kwao kuwa omba omba. Kwahiyo ulitaka waishi mabondeni kama vyura na mamba au mnavyoishi kwenu huko? Sema unapapenda sana na ndiyo maana unakomaa napo. Yaani wewe ni sawa na demu unayekukataa kumbe anakuhitaji. Sasa wewe ndiyo demu mwenyewe.
Ww ni mhaya?,Umeongea kutetea hoja 2 Tu Bukoba hata pato la Taifa wako mwishoni ila utaskia ina Watu mashuhuri kama Tunajijua,Nshengela,Kimei n.kSocio cultural difference. Labda na wewe ungesema ni mtu wa wapi na mambo yako ni yapi hasa ili tuone nini ilisababisha hayo yaliyokukuta.
Kikubwa ni ku embrace difference zetu na kuendana na mambo. Hizo tabia Tanzania sehemu nyingi zipo zinatofautiana ujazo tu. Kwa maeneo ya mikoa ambayo ni ya mjini inapungua, kwa maeneo ambayo ni ya mipakani na kuna kabila moja la asili lime dominate hayo mambo yanakuwa mengi zaidi.
Mara ya kwanza natembelea Bukoba, japo sikukaa sana lakini nilienda hadi maeneo ya ndani ndani kama vile kata ya Rubafu nikaishi nao fresh tu.
Mambo mengine ni uoga wa asili wa wazawa. Hata Pwani ukiend deepkuna namna watu wanagwaya mgeni ukiingia na kuanza mambo kama ya kutafuta mashamba, biashara n.k
Ni kama hata kwa level ya taifa tunavyoogopa kutoa uraia pacha na kuwapa wageni haki au uhuru wa kununua ardhi n.k Lakini kuna watu kibao tu wamejenga na kununua ardhi kienyeji.
Wachaga napoona wanawazidi wahaya ni padogo Tu wachaga wanaushirikiano,fursa ikiwepo wanashtuana ndio maana wanafanikiwa ..Mafanikio hayapimwi kwa vitu vikubwa ila vidogo vidogo vinavyozaa vikubwaWashindani wakuu wa maendeleo ya Wahaya na mkoa wa Kagera ni wachaga na mkoa wa Kilimanjaro, sasa kwa namna wachaga wameendelea kuwa mbele mnoo kimaendeleo. Kuanzia Elimu bora, Kipato, Maisha bora na huduma bora za kijamii wachaga na mkoa wao wa Kilimanjaro vimekuwa mfano wa kuigwa halafu wahaya na Kagera yao wamedumaa unabaki kujiuliza shida iko wapi?
Upo sahihi 100%! Kuna jamaa humu anawatetea wahaya wenzake! Ila kwa tulioishi kule tunajua tabia zao! Wana tabia mbovu sana ambazo makabila wengine hawana!Ukiwa mgeni kama umefungua biashara hawaji kununua kwako na kama una bidhaa flani na haipo kwa wenyeji basi wataongea kirugha ili ikajumuliwe bidhaa na mwenyeji ili wajiungishe wao