Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
alaumiwe GSMhivi benchi la ufundi wanajua hasa sababu ya kufanya SUB[emoji848][emoji848]
sidhani kama unaangalia mpira vizuri.Wee ukimtoa Muzamiru hapo ndio tunafungwa Sasa sababu mkabaji atabaki mmoja tu Kanoute hali itakuwa mbaya katikati hapo atoke either Bwalya au Morrison