Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Daah....this is pain in the arseNaL
 
We [mention]Shadeeya [/mention] nini Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kila muda mamipira tu

Hivi shahidi wa leo kwenye kesi ya mbowe alifanyiwa cross examination?
Aisee
JamiiForums-213931961.gif
 
Huwezi kuchukua ubingwa kwa kuwategemea akina boko. Na huwezi kuchukua ubingwa kama huna washambuliaji wa kutisha. Kufungwa huku kuwe fundisho kwa Viongozi wa Simba kufanya sajili zenye maana na sik mihemko.
 
Wapi wakili msomi Morrison
NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.

Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF

UPDATE

Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba.

17” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

20” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

25” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

32” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

40” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

45” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

HALF TIME 0 0

Kipindi cha Pili kimeanza

50” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

55” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

60” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

68” Kagera Sugar 0 Simba Sc 0

70” KAGERA 1 SC 0

Simba Wanafanya Mabadiriko

77” Yusuph Mhilu na Bocco Wanaingia

82” Kagera Sugar 1 Simba Sc 0
 
Back
Top Bottom