Somba yangu hii mwaka huu miguu yote imepinda au ni nini? Ushindi mzunguko huu wasahau
 
Simba watengeneze benchi la ufundi jingine.hao kina matola wakatafute kazi nyingine.maana wao ndio tatizo kubwa.haiwezekani tatizo la timu liwe ni lile lile ata baada ya kubadilisha makocha viongozi.Kwahiyo kuna namna wanaingilia mipango ya head coach.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…