Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Hâta kama ni moyo wa ushabiki inatakiwa ufukie muda tukubali kuwa zama zimepita sasa.

Hakuna cha hujuma wala figisu tunao fanyiwa ila tunafeli kwa upumbavu wetu wenyewe, hapa ni either tukubali kujiandaa na msimu ujao kwa kuendelea kumtumia huyu kocha au tumfukuze tulete kocha mwingine kwaajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Simba SC sio bingwa msimu huu[emoji119]
 
Nishasemaga mara kibao, mpira wa counter attack bado haujapatiwa ufumbuzi pale msimbazi

Huu mpira ulikotoka ulikuwa kwenye eneo la kagera lakini shuti la mbali kuondoa mpira kwenye lango lao ndio uliokuja kusababisha goli baada ya asilimia 90 ya wachezaji wa simba kupanda juu
Mkuu Mbona Ufumbuzi Umepatikana Timu Ni Imara Kabisa Tumeamua Kuwaachwia Hawa Watoboa Tundu.

Simba Nguvu MoYaaaa!
 
Tujipange kwa msimu ujao lkn atafutwe kocha mwngne huyu anapiga tu kelele haelewek
 
Tukiongea football na kuweka ushabiki pembeni huyu kocha wa simba kiwango chake n duni sana. Ukocha sio tu kupanga wachezaji wakacheze namba hii wew namba ile. Kocha unatakiwa uwe na mbinu na uwezo mkubwa wa kusoma mchezo. Hii n mechi ya tatu mfululizo namuona sub anazofanya hasa mambo yanapomuwia ugumu ni za kupanic. Hajui kusoma mchezo na hana plan B. Huyu kocha hastahili kufundisha timu kubwa kama timu yenu watani atawachelewesha
 
Refa maliza mpira watoto wamechoka. Mambo ya kuongeza dakika 7 haipo hiyo
 
Back
Top Bottom