Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

Inasikiyisha sana ndugu, yaani ktk mambo ya msingi kama haya huoni ripoti ikitolewa kwa wakati wao wapo haraka ktk mambo ya kisiasa tu ndio intelejensia yao inafanya kazi
 
Innaa lillah wainna ilayhi rajiun. Kwa nini zilwe shule za kiislam tu. Ni dhahir kuna sura timilivu ya hujuma! Serikali inapaswa kufanya uchunguzi ili kupambani na kadhia hii.

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun, Allah awape subra wazazi wa marehemu, awape shifaa majeruhi na awajaalie makazi mema yawe kwao wote waliofariki katika ajali hii.

Lipo tatizo sehemu, kwanini ndani ya kipindi cha miezi kama sita hii ni mabweni ya taasisi za Kiislam tu ndio yanayoungua? Lipo tatizo. Sisemei kama ni lazima na ya taasisi nyingine yaungue! La hasha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mazingira rahisi kuna kitu katikati ya kuungua huku kwa shule za kiislam, HAIWEZEKANI iwe ni ajali za kawaida. Watoto wanapoteza maisha, kuna kila sababu ya kutoa majibu na kukomesha tatizo hili.
 
DCI, TISS, POLISI NA SERIKALI KWA UJUMLA WAPO BUSY NA CHADEMA.

HIZI SHULE HAZIJAANZA KUCHOMWA LEO.

ILIANZIA SHULE ZA DAR SASA IMESAMBAA MIKOA YOTE.

WATAKAOUMIA NI WANAFUNZI NA WAZAZI.
 
DCI, TISS, POLISI NA SERIKALI KWA UJUMLA WAPO BUSY NA CHADEMA.

HIZI SHULE HAZIJAANZA KUCHOMWA LEO.

ILIANZIA SHULE ZA DAR SASA IMESAMBAA MIKOA YOTE.

WATAKAOUMIA NI WANAFUNZI NA WAZAZI.
Hii kama sikosei itakuwa ni shule ya 4 sasa, kuna hujuma za wazi sio bure! Ila hata hao wachomaji nao wanakosea. Ni bora wangefanya hujuma zao kipindi ambacho watoto wapo likizo au shule zilipofungwa kwa ajili ya Covid 19 na sio kufanya hivi na kuwaua watoto wadogo wasio na hatia, wasiojua chanzo cha migogoro tena kwa moto!! Inauma sana, sio kwa Wazee tu wenye watoto wao hapo bali kwa kila Mtanzania yeyote mwenye kutumia akili yake vyema kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah
Inauma kweli hii ajali.
R.I.P watoto wanafunzi.
Ivi ni kwa nini kasi ya kuungua kwa mashule kumeongezeka siku za karibuni?
Hamna hujuma nyuma yake kweli?
 
Unahisi tatizo ni nini?
 
Habarini wana jamvi. Itifaki imezingatiwa.

Kwa kipindi cha mwaka huu kumekuwa na ongezeko la matukio ya kuungua kwa Mabweni ya Wanafunzi na kusababisha madhara kadha wa kadhaa.

Asilimia kubwa ya ajali hizo zinahusisha shule za Islamic. Sipo kimtazamo wa kidini. Naomba tutafakari shida ni nn na ipo wapi maana panapofuka moshi zima moto chini.

 
Mkoa huu unaweza ukawa unaongoza kwa hujuma. Naomba sana kama inawezekana, mamlaka zinazohusika wauangaie kwa jicho kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…