Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Inasikiyisha sana ndugu, yaani ktk mambo ya msingi kama haya huoni ripoti ikitolewa kwa wakati wao wapo haraka ktk mambo ya kisiasa tu ndio intelejensia yao inafanya kazi
Nyie watu msitutanie na maisha ya watoto wetu wa shule , hizi shule zinafululiza kuchomwa moto kama utani na hakuna watuhumiwa wanakamatwa haiwezekani kabisa roho inauma sana. Ilianza mwanza , dar, moshi, kagera bado mnasubiri kuhesabu mikoa tuu iongezeke? Tafadhali serikali na watu wote tuchukue hatua tuwataje wahusika waadhibiwe.