Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Tuchape kazi kwa bidii, Kahama
 
Kazi ni nzuri na iendelee
 
World Bank oyeeee
 
Khaaaa,

Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,

Rais Samia anafanya mambo makubwa sana lazima tukubali,

Stendi ya Kahama ilikwama muda mrefu sana,

#MAMA CHAPA KAZI TUKO NA WEWE
World bank ndio waliopaswa kutoa pesa za ujenzi huu wote mnaomsifia mmakunduchi wenu hapa, hizo fedha za world bank ziliahidiwa tangu Rais akiwa kikwete halafu mnaleta ngonjera ngonjera zenu utadhani huyo kahaba wenu kutoka Zanzibar anatoa pesa zake za mfukoni stupid
 
Khaaaa,

Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,

Rais Samia anafanya mambo makubwa sana lazima tukubali,

Stendi ya Kahama ilikwama muda mrefu sana,

#MAMA CHAPA KAZI TUKO NA WEWE
JPM ziara yake ya mwisho akitokea Chato Kuelekea Dar kabla ya mauti yake alipita Kahama akasema stand ianze kujengwa lakini holaaa mlivyo kosa kumbukumbu mnaleta ngonjera zingine hapa
 
Mkuu hii miradi ni ya Rais mwenyewe "ova"
Ficha upumbavu wako, unafahamu World Bank imesubiriwa na Kahama tangu mwaka gani kuhusu huo mradi?
Nyie uvccm hata kumbukumbu huwaga hamnazo, hukumbuki hata Magufuli wakati anatoka Chato alipita Kahama akasema ujenzi uanze haraka na Kahama ikapewa manispaa, Leo mmebadili ngonjera nyamafu nyie
 
Kwa pesa yao sio? Anaetoa maelekezo ya kwamba 60% ibakie kwa ajili ya maendeleo ni nani kama sio serikali?

Pili Manispaa ina pesa gani za kujenga miradi yote hiyo wakati mapato yao ya ndani hayazidi bil.10? Tumia akili wivu itakuua.
Kwahiyo Samia ametoa pesa zake?
Pumbavu wewe uwe na kumbukumbu basi.
Pesa kwa hisani ya world bank, pesa zimesubiriwa kitambo sana na mpaka Sasa hakuna kinachofanyika hapa KAHAMA.
 
Labda wataelewa hawa mazombie wa mama Samia.
Hakuna stand inajengwa hapa Kahama tunapewa porojo tu.
 
Kwahiyo Samia ametoa pesa zake?
Pumbavu wewe uwe na kumbukumbu basi.
Pesa kwa hisani ya world bank, pesa zimesubiriwa kitambo sana na mpaka Sasa hakuna kinachofanyika hapa KAHAMA.
Wewe ndio fala,Kazi zinaendelea kadanganye Mkeo 👇

Kwani kabla ya Rais Samia World Bank haikuwepo?
Uwe unaelewa we jinga wahed
World Bank walishapanga kujenga soko, stand na barabara za Mtaa Kahama tangu JPM hajawa Rais, JPM mwaka Jana akiwa Safari ya mwisho alipita Kahama akaipa umanispaa Kisha akasema soko na stand vinaanza kujengwa soon, nyie wapiga zumari mkaleta shangwe humu na wananchi walifurahi pia, lakini mpaka Sasa hakuna soko Wala stand inayojengwa Kahama wanasubiriwa hao world Bank walete pesa, Sasa sisi wakazi wa Kahama tunawaambia ninyi mnaleta porojo za kusifiana na Bibi yenu wa kikojani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…