CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Watu wamepagawa yaani,Naona mambo ya kutawala milele yako zaidi kanda ya ziwa😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamepagawa yaani,Naona mambo ya kutawala milele yako zaidi kanda ya ziwa😂
Tuchape kazi kwa bidii, KahamaView attachment 2045659
===
Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili, Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano, Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Kazi ni nzuri na iendeleeView attachment 2045659

World Bank oyeeeeView attachment 2045659

World bankPesa zao ndio zipi? Stend ya Kahama inatoa magari mangapi?
Kwani kabla ya Rais Samia World Bank haikuwepo?World Bank oyeeee
World bank ndio waliopaswa kutoa pesa za ujenzi huu wote mnaomsifia mmakunduchi wenu hapa, hizo fedha za world bank ziliahidiwa tangu Rais akiwa kikwete halafu mnaleta ngonjera ngonjera zenu utadhani huyo kahaba wenu kutoka Zanzibar anatoa pesa zake za mfukoni stupidKhaaaa,
Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Rais Samia anafanya mambo makubwa sana lazima tukubali,
Stendi ya Kahama ilikwama muda mrefu sana,
#MAMA CHAPA KAZI TUKO NA WEWE
JPM ziara yake ya mwisho akitokea Chato Kuelekea Dar kabla ya mauti yake alipita Kahama akasema stand ianze kujengwa lakini holaaa mlivyo kosa kumbukumbu mnaleta ngonjera zingine hapaKhaaaa,

Ficha upumbavu wako, unafahamu World Bank imesubiriwa na Kahama tangu mwaka gani kuhusu huo mradi?Mkuu hii miradi ni ya Rais mwenyewe "ova"
Huwa mnarogwa eehh?Kwa viwango vya delivery, sidhani kama kuna Rais anaweza mfikia Samia so far .Wakati watu wanalia kupanda Kwa gharama za maisha lakini matokeo chanya yanaonekana.
Huku niliko barabara zinajengwa kila mahali kama hivi [emoji116]
View attachment 2046270
View attachment 2046272
View attachment 2046273
View attachment 2046276
View attachment 2046278
Kwahiyo Samia ametoa pesa zake?Kwa pesa yao sio? Anaetoa maelekezo ya kwamba 60% ibakie kwa ajili ya maendeleo ni nani kama sio serikali?
Pili Manispaa ina pesa gani za kujenga miradi yote hiyo wakati mapato yao ya ndani hayazidi bil.10? Tumia akili wivu itakuua.
Labda wataelewa hawa mazombie wa mama Samia.Wakuu npo kahama hiyo road kwenda huko kwa eneo la viwanda panaitwa DODOMA road n kwel kuna kakipande wamepiga ile rami ya bei rahs .. na sehem kubwa pado kuna vifus vya zege.
Licha ya kahama kuwa na makusanyo makubwa kwa mujibu wao ...huwez amin mitaa yale ilivo kaa ovyo.
Stend ni ndogo sana ndo hiyoo wanasema inatoa mabas 100 per day nazan hapa nitakubali if watahesabu na costa pamoja na tata za kwenda masumbwe,ushirombo,nyakanazi,ruzewe ,rusumo etc.
Sipo ku criticize juhud za chf HANGAYA ila kuna kila dalili za kueneza kuabudiwa pamoja na kutafuta popularity ..(eg rais katoa).
Lastly but not list serikali fanyen kaz na hao watendaji wenu wanatoa majigambo wakat kaz hazjaaza hiyo road [emoji2926][emoji2926] ya kwenda kwa ummy inasuasua na had sasa hawajajenga hata 2km au hela ilikuwa haijatolewaa na chf HANGAYA..
RO7 ZA MGOS
Wewe ndio fala,Kazi zinaendelea kadanganye Mkeo 👇Kwahiyo Samia ametoa pesa zake?
Pumbavu wewe uwe na kumbukumbu basi.
Pesa kwa hisani ya world bank, pesa zimesubiriwa kitambo sana na mpaka Sasa hakuna kinachofanyika hapa KAHAMA.
Wewe umefanywa nini?Huwa mnarogwa eehh?
Lofa wewe, Hilo jengo la OPD unafahamu limeanza kujengwa lini na Nani alizindua pamoja na jengo la halmshauri?
Siwezi rogwa kipumbavu hivyo bila kufuatilia fact.Wewe umefanywa nini?
Halafu ulivyo lofa hapo umeandikiwa ni mapato ya ndani ya halmashauri na bado unaleta ngonjera za kumsifia kahaba wako kutoka Makunduchi nyamafu wewe
Uwe unaelewa we jinga wahedKwani kabla ya Rais Samia World Bank haikuwepo?