Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Wakuu npo kahama hiyo road kwenda huko kwa eneo la viwanda panaitwa DODOMA road n kwel kuna kakipande wamepiga ile rami ya bei rahs .. na sehem kubwa pado kuna vifus vya zege.

Licha ya kahama kuwa na makusanyo makubwa kwa mujibu wao ...huwez amin mitaa yale ilivo kaa ovyo.

Stend ni ndogo sana ndo hiyoo wanasema inatoa mabas 100 per day nazan hapa nitakubali if watahesabu na costa pamoja na tata za kwenda masumbwe,ushirombo,nyakanazi,ruzewe ,rusumo etc.

Sipo ku criticize juhud za chf HANGAYA ila kuna kila dalili za kueneza kuabudiwa pamoja na kutafuta popularity ..(eg rais katoa).

Lastly but not list serikali fanyen kaz na hao watendaji wenu wanatoa majigambo wakat kaz hazjaaza hiyo road 🛣️🛣️ ya kwenda kwa ummy inasuasua na had sasa hawajajenga hata 2km au hela ilikuwa haijatolewaa na chf HANGAYA..

RO7 ZA MGOS
 
Hiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi,acha kupiga debe za uwongo...kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya samia,bladifakeni
We fala kweli. Hujui mifumo ya makusanyo ya mapato, matumizi na uidhinishaji wake ikoje bali una bwabwaja tu. Hujui hata mwenye mamlaka ya kutoa fedha za miradi ni nani. Hujui kuwa wakuu wa idara/taasisi kuidhinisha fedha za miradi ni kwa niaba ya mkuu wa nchi?

Hujui kuwa mwenye mamlaka na fedha yote nchini ni mkuu wa nchi?

Hujui maana ya centralization na decentralization wewe, hata desicion making delegation, mfano kusaini fedha kwa niaba ya.....???
 
Na bado ana miezi 8 tu,, huyu mama atafanya maajabu
Kwanza saizi pesa zipo, watumishi wanaenda seminars,wanaajitiwa ,madaraja wamepandishwa nk..

Kinachoisapoti serikali Yake ni uwekezaji wa biashara mpya,migodi na mikopo nafuu akitaka anaipata ..

Sema changamoto kubwa ni mfumuko wa bei ambao ni shida ya Dunia na kingine Hali ya hewa sio stable bado but siku vikitengamaa mambo yatakuwa mazuri..

Mwaka ujao walipanga wapunguze tozo,VAT na kuongeza salary sasa Hali ikiruhusu atafanya but isiporuhusu itabidi watu wangoje , otherwise kwenye uchumi so far yuko vizuri.
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Nahitaji ufafanuzi mzuri; hizo billions 12.5 za kujenga barabara kuzunguka viwanja vya Ummy Mwalimu investment centre, swali; hiyo investment centre ya Ummy Mwalimu iko sehemu gani Manispaa ya Kahama?? Maana hata yenyewe haieleweki !!
Pili: hizo barabara nyingine unazosema Rais amezitolea pesa, ni barabara zipi hizo? Maana Kahama ina barabara za ovyo kuliko kawaida ingawa ina mapato mengi nchini.

Tatu, hiyo stand ya mburu unayosema imetengewa pesa, maneno mengi kama ya kwako yanesemwa miaka nenda rudi karibia miaka kumi, ni kwa ushahidi gani hilo kuwa kweli?

Mwisho, fafanua vzr hiyo miradi iko sehemu gani hasa manispaa ya Kahama, inaanza lini (maana hakuna chochote kinachoendelea huko Kahama), barabara hizo za km zote hizo, ni zipi, za kutoka wapi kwenda wapi? Pesa inatoka wapi (maana Kahama toka mwaka 2019/20) iliingizwa kwenye miji ya kufadhiliwa na World Bank nchini Tanzania kuboresha hadhi ya manispaa. Je, si hizo pesa toka WB?

Fafanua vzr ueleweke vzr, mtu akisoma aelewe. Kahama napafahamu lkn hamna kinachoendelea kwa sasa.
 
Hizo pesa amezitoa wap???
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Rais samiah hana hela yakitoa isipokuwa serikali inatoa kodi zetu kwenye miradi ya maendeleo acheni kujipendekeza kwa kiwango hicho
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Ninyi wanafiki mnaharibu sasa na hizo "atawale milele." Mmesahau kilichomkumba Shujaa Mwendazake?
 
Hiyo UM Investment Center ipo maeneo gani Mkuu?
 
Stupidity shall never end. Wanavyokazia katoa hela utafikiri katoa za mfukoni kwake....... hizo ni kodi zetu na ndio kazi zinazotakiwa kufanya. Hamna ubunifu wa maana wa kuleta mageuzi ya kiuchumi.
Halafu si lazima aende kufagia njia ya uchaguzi mapema mapema huko usukumani ili kusudi hicho kinachoitwaa sukuma gang kisimfungie milango huko, kwani uhangaya kaupatia wapi?
 
Yote ilikuwa kwenye mipango ya Magufuri , na alikuwa ameanza na sehemu nyingine mf Korogwe , Singida , Dar , Msamvu - Moro , Dodoma , Kigoma , Na Mwanza + Geita + Moshi + ambayo zilikiwa on progress pia , ili akija kujenga kahama wale wapuuz wa ukabila wasipate hoja so hatujaona ubunifu wa Mama , afanye kile alichoshindwa Magu mf kuruhusu mzunguko wa ela mtaani , kuto ajira ( sio kutangaza maana hata Magu alikuwa anatangaza ) , kuruhusu siasa ya usawa ( demokrasia )
Unao huo mpango mkuu?
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
RAIS SAMIA KAMA SAMIA NI NOMA,
 
Back
Top Bottom