Ndio mda wangu wa kumnyooshaaa sasa sasa umefika Wala msimsingizie Harmonize...
Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...
Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
Kila siku tu nawaambia acheni ujuaji wa kijinga na kujifanya mnajua, ila hamskiii hiyo ndo inaitwa fainali uzeeniMbona bado hajachelewa kuanza upya.
Miaka ni namba tu ikiwa mtu una nguvu na afya njema.
Mjinga sana, ila anatia huruma ******* sana, alaf ni pisi badoAnajuta kudanga kwa maskini 🤣🤣🤣
Huyo ana jina anaweza kupata milioni hamsini chap tu akafanya biashara, pia huyo hakosi wa kumuoa mkuu, sema wanabagua wanataka mastar lakini pia huyu demu anampenda harmonize, Hilo pia ni tatizo siamini kama kakosa wakumuoaJela si kaenda akiwa mtu mzima kabisa...
Alikuwa "maarufu" tangu binti mdogo, umaarufu usio na tija...
Hata hivyo kwa kuwa bado yupo hai ana nafasi ya kugeuza historia yake isomeke upya...
Unaskia anasema Paula huwa ananiombea... Alaf anaanza kulia ila kweli malezi kwa wakubwa pekee siku hizi hadi watoto wanalea wazaziKuna wenzie kadhaa waliondoka pasipo kupata nafasi ya kujirekebisha kiroho (rehabilitation)
Yeye kama amepata neema hiyo sasa, ni vyema akaachana na ya Dunia na kufanya yale ya kumpendeza Mungu
Changamoto kubwa za wengi walioishi/wanaoishi kwa Kudanga, huwa hawako na shughuli za kuwaingizia kipato ukiachana na kuuza nyuchi pekee
Kwahiyo ni abadani mtu wa hivyo kusimama kiroho, kwa maana atakapojitojeza mwenye pochi nene, lazima mtu afungue mapaja
BTW, Kila la heri kwake
Mimi vijana wangu wamekuwa na tabia ya kuniombea kila siku wanapokwenda kulalaUnaskia anasema Paula huwa ananiombea... Alaf anaanza kulia ila kweli malezi kwa wakubwa pekee siku hizi hadi watoto wanalea wazazi
Hakika. You seem to have a loving familyMimi vijana wangu wamekuwa na tabia ya kuniombea kila siku wanapokwenda kulala
Na nikitaka nipate maombi mengi siku hiyo, niwaambie Sina hela ya kuwalipia Ada 🤗
Watoto huwajali sana Wazazi wao, labda itokee umemkorofisha Mama yao na wao wakajazwa sumu 🙌
Ni jambo linalofanya nimshukuru Mungu kila sikuHakika. You seem to have a loving family
Almost my moms age ila sio issue, anajiweka vzr kulinganisha na watu wenye hiyo age kaweza bana tumpe maua yake!hahahaha,ila kajala anacheza 40+
Jamani this is too much😂Wala msimsingizie Harmonize...
Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...
Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
Mishangazi ya Mjini hawa"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.
Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna kitu Cha maana, natamani muda Urudi Nyuma Nianze Upya Ili nifute kabisa makosa yangu ila ndo hivyo haiwezekani ila nashukuru tu bado Napumua nashukuru Kwa hicho tu" Ameongea Kajala Kwa masikitiko makubwa huku akilia.
Wengi wame mpa pole Kajala, na wengi Wana hisi Kajala anaona umri umeenda huku hakuna Cha maana alicho fanya, na pia baadhi ya watu Wana sema kinacho Mtesa Kajala ni mapenzi hajawahi kupata mtu Sahihi, yote hayo ndo yana fanya ajikatie tamaa ya maisha.
Ukweli ni kwamba Kajala Anapitia Kipindi kigumu sana, na Harmonize anaweza kuwa ndo kachangia hii hali anayo Pitia Kajala Kwa Sasa.
View attachment 3670949
View attachment 3670950
View attachment 3670952
AJE CHANIKA TUISHI,MBONA FURAHA ATAIPATA TU,AKUBALI TU KUISHI MAISHA YA KAWAIDA NIPO TAYARI KUMTULIZA/ HAKUNA BRADO BALI KUNA VITZ KA KUZUGIA! PIA ISTOSHE TUNAFAHAMIANA SANA!...(TULIKUWA MABEST MAHALA FULANI ILALA)"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.
Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna kitu Cha maana, natamani muda Urudi Nyuma Nianze Upya Ili nifute kabisa makosa yangu ila ndo hivyo haiwezekani ila nashukuru tu bado Napumua nashukuru Kwa hicho tu" Ameongea Kajala Kwa masikitiko makubwa huku akilia.
Wengi wame mpa pole Kajala, na wengi Wana hisi Kajala anaona umri umeenda huku hakuna Cha maana alicho fanya, na pia baadhi ya watu Wana sema kinacho Mtesa Kajala ni mapenzi hajawahi kupata mtu Sahihi, yote hayo ndo yana fanya ajikatie tamaa ya maisha.
Ukweli ni kwamba Kajala Anapitia Kipindi kigumu sana, na Harmonize anaweza kuwa ndo kachangia hii hali anayo Pitia Kajala Kwa Sasa.
View attachment 3670949
View attachment 3670950
View attachment 3670952
Almost my moms age ila sio issue, anajiweka vzr kulinganisha na watu wenye hiyo age kaweza bana tumpe maua yake!
Siwezi kujutia kama muda ulikuwepo huenda pesa hazikuwepo, kama pesa zilikuwepo huenda umri haukuruhusu! Kila kitu kinatokea kwa sababu na kila mtu ana past zake chafu tuna kazi ya kunyooshea watu vidole ili tupate ahueni, hakuna lolote!🚮Maisha ndivyo yalivyo, unalia na kujuta ulipo, lakini hapo ulipo ndio wengine wanatamani kufika na ndio ndoto zao.
We hata pro box tu haina shida subiri ajipange aje!AJE CHANIKA TUISHI,MBONA FURAHA ATAIPATA TU,AKUBALI TU KUISHI MAISHA YA KAWAIDA NIPO TAYARI KUMTULIZA/ HAKUNA BRADO BALI KUNA VITZ KA KUZUGIA!
kajala kamaliza hakuna ameacha, kaishacheza uchi huyo beach bam miaka hiyo, hii khanga kaisha cheza sana billicanas enzi hizoWala msimsingizie Harmonize...
Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...
Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
Siwezi kujutia kama muda ulikuwepo huenda pesa hazikuwepo, kama pesa zilikuwepo huenda umri haukuruhusu! Kila kitu kinatokea kwa sababu na kila mtu ana past zake chafu tuna kazi ya kunyooshea watu vidole ili tupate ahueni, hakuna lolote!🚮