Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anayembeza mwenzake kwamba umri umeenda? Kwani huyo anayekusema wewe, je umri wake haujaenda? Alizaliwa na miaka hiyo hiyo haiongezeki? Umri mrefu ni baraka ,mimi nikimuona mtu mwenye umri mkubwa na anadunda huwa namuheshimu kwamba amejitunza ,miaka ya sasa vijana wengi wanakufa below 35 ,yaani ukiingia tiktok ,facebook ,instagram ni taarifa za vifo hasa vijana.

Kajala wewe bado mtoto mbichi sana yaani bado "children" ,"KURA MAISHA".
 
Sio poa ii life
 
Mkuu wazazi wangu walishatangulia mbele za haki.. hiyo context umeiletaje hapa. Unataka kunikera sasa
Na wewe kwanini unataka kumkera kajala na mapaja yake yamekukosea nini mtoto wa watu? Waapumzike wanapostahiri wazazi wako kwa kutuletea mtoto km wewe unaewakosoa waliokuzaa
 
Fala huyu

Hata kama anapitia anayopitia muda haupendi anachofanya
Sikia mwanangu umri ni namba ndio maana kuna Mashangazi na ikitokea mfano mmoja wapo mimi hapa nikafungiwa room moja na huyo akasaula kitu akabakia chauwa kacheua cheeu napita nae siulizi mara 3, na usiniulize kwanini halafu sometimes kuna mambo inabidi watu mfanye km yamewapita na hamyafahamu sasa yeye anakosa nini muda huu anakula vizuri analala pazuri etc kuna nini kingine mothers fantasy utamwambia wewe
 
Kwa kusema Kuna kuzuri Kunapima pima yako

Tukisema tunamaanisha mbali na credit
 
Thamani ya Mwanamke huwa inashuka kadri muda unavyoenda. Kama Alicheza Majuto ni lazima hapo milleage inasoma 400k Engine imeshafanyiwa overhaul mara kadhaa ABS zina multifunction Tripu 3 garage 1 shambani Konde kaona ya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…