Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi hawana kosa mkuu,tatizo ni lake yeye binafsiWazazi wako huko akhera watakuwa wamepata hasara kubwa sana.
Wazazi wako huko akhera watakuwa wamepata hasara kubwa sana.
Si unaona mwenzako hajatoa hitimisho Kwa wote kwamba usioe na Kwa msisitizo amesema ataoa tena ila alishindwa ataona njia sahihi ya kufanyia, lakini wewe umekomaa TU usioe usioe, nyie ndo wenye kuleta Watoto wenye baba asiyewajibika unazalisha huku unazalisha kuleSoma hiyo 👇👇👇
Si unaona mwenzako hajatoa hitimisho Kwa wote kwamba usioe na Kwa msisitizo amesema ataoa tena ila alishindwa ataona njia sahihi ya kufanyia, lakini wewe umekomaa TU usioe usioe, nyie ndo wenye kuleta Watoto wenye baba asiyewajibika unazalisha huku unazalisha kule
Na Ili ulee mwanao Kwa usahihi na uhakika lazima uishi na mama yake kinyume na hapo unaimgia kwenye ujinga ule ule maana Kuna muda utapishana kauli na mama mzazi utasusa kutuma matumiziMwanaume asiye Lea mwanae ni mjinga mkubwa sanaaaa..
#YNWA
Wazazi hawana kosa mkuu,tatizo ni lake yeye binafsi
Na Ili ulee mwanao Kwa usahihi na uhakika lazima uishi na mama yake kinyume na hapo unaimgia kwenye ujinga ule ule maana Kuna muda utapishana kauli na mama mzazi utasusa kutuma matumizi
Hilo hawalizingatii vijana wa sasa,wapo tayari kutesa watoto wao.Mapenz yamegeuka ni kitu Cha ukatili sanaNa Ili ulee mwanao Kwa usahihi na uhakika lazima uishi na mama yake kinyume na hapo unaimgia kwenye ujinga ule ule maana Kuna muda utapishana kauli na mama mzazi utasusa kutuma matumizi
Hakuna kuoa...ni mwendo wa kuzichakata tuuSiku utakayooa naamini hutoandika CHOCHOTE hapa.
Wakifika miaka 50 na kuendelea wataelewa pale unapohitaji familia ya kuwa karibu na wewe haipo unaishi maisha ya kipweke mpaka kaburiniHilo hawalizingatii vijana wa sasa,wapo tayari kutesa watoto wao.Mapenz yamegeuka ni kitu Cha ukatili sana
Wao wanadhani ndoa ni ngono ngono tu umuhimu wa ndoa utauona baada ya ujana kuisha pale ukifika 50 ndipo utahitaji mtu wa kuwa karibu yakoWakifika miaka 50 na kuendelea wataelewa pale unapohitaji familia ya kuwa karibu na wewe haipo unaishi maisha ya kipweke mpaka kaburini
Liverpool VPN umebakiwa na 18 kufika 50 tafadhali fanya maamuz mapemaWakifika miaka 50 na kuendelea wataelewa pale unapohitaji familia ya kuwa karibu na wewe haipo unaishi maisha ya kipweke mpaka kaburini
Hiyo ndio shida ikifika miaka 50 na kuendelea umuhimu wa familia unaokena tena mkubwa ila ujana hupofusha watu wanawaza mbususu wakifika huko ahera wamuulize Mrema kwanini alioa Ili hali umri ukiwa umeenda wanadhani Mrema alikuwa anawaza mbususu? Upweke mbaya sana hasa umri ukiwa umesongaWao wanadhani ndoa ni ngono ngono tu umuhimu wa ndoa utauona baada ya ujana kuisha pale ukifika 50 ndipo utahitaji mtu wa kuwa karibu yako
Hawatutaki sisi tusio na mvuto..Hiyo ndio shida ikifika miaka 50 na kuendelea umuhimu wa familia unaokena tena mkubwa ila ujana hupofusha watu wanawaza mbususu wakifika huko ahera wamuulize Mrema kwanini alioa Ili hali umri ukiwa umeenda wanadhani Mrema alikuwa anawaza mbususu? Upweke mbaya sana hasa umri ukiwa umesonga
VIJANA OENI WANAWAKE SAHIHI KWENU WAPO WENGI MBONA MSIJIWEKEE VIGEZO VIKUUUBWA, CHA MSINGI ELEWA HAKUNA ALIYEMKAMILFU UKIPATA WA KUKUFICHIA UDHAIFU WAKO NA WEWE MFICHIE MAISHA NDIO HAYA HAYA!