si wao hawafagi imekuwaje tena?Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
View attachment 1845577
View attachment 1845790
Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanaJF wote, nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo.
INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN.
kumbe na wao wanakufaRiP Kaka Charles. Hii Familia Jamani Mungu akasimame katikati Yao. Ni miaka ya Juzi Tu alikuwa Dada Kwa Ajali, akafa Maximilian, akafa Yule Mwanajeshi wa Salasala. Huyu Charles Sijui ni Yule aliyekuwa ana Nywele ndefu anazibana Kwa Nyuma?? Tulikuwa tunamuita Mmarekani?! Dash Mbowe Mungu akutie Nguvu na kulipa Faraja.
mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?Wewe ndio mnafik. Amesema taarifa amepata kutoka Chadema, kosa liko wapi? Amesema marehemu ni kaka wa Mwenyekiti wa Chadema, kosa liko wapi? Wapi aliposema kuwa msiba huu ni wa wanachadema peke yao na kuwa marehemu alikuwa Chadema?
Acha unafik. Si tabia nzuri kumsingizia mtu kitu ambacho hajasema.
Amandla...
Na baada ya kusema hivyo umejiona mjanja sana. Hivi ukimtukana mtu huku umejificha bado unajisikia shujaa sana?mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?
Mkuu baada ya jiwe kufa vijana aliokuwa anawafuga wamerukwa na akiliNa baada ya kusema hivyo umejiona mjanja sana. Hivi ukimtukana mtu huku umejificha bado unajisikia shujaa sana?
Amandla...
Naona viherehere wa liendazake wanapata mahali pa kuleta vihoja vyao na kushangilia. Hata mkishangilia ukweli ni kuwa hayupo tena
Kuna kitu kinaitwa projection. Maana yake ni ukiona mtu anazungumzia sana kitendo fulani ni kuwa ana anafanywa hicho kitendo au anatamani afanywe hicho kitendo. Kwa kweli unahitaji therapy.mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?
mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?Wewe ndio mnafik. Amesema taarifa amepata kutoka Chadema, kosa liko wapi? Amesema marehemu ni kaka wa Mwenyekiti wa Chadema, kosa liko wapi? Wapi aliposema kuwa msiba huu ni wa wanachadema peke yao na kuwa marehemu alikuwa Chadema?
Acha unafik. Si tabia nzuri kumsingizia mtu kitu ambacho hajasema.
Amandla...
hata ukisemaje haibadirishi ukweli maana mnavyomtukuza mbowe lazima atakuwa anawatiavidole sana vya matakoKuna kitu kinaitwa projection. Maana yake ni ukiona mtu anazungumzia sana kitendo fulani ni kuwa ana anafanywa hicho kitendo au anatamani afanywe hicho kitendo. Kwa kweli unahitaji therapy.
Amandla...
na wao wanakufa
Hata kwenu mnakufa/ mtakufa na Wewe utakufa. Huzuni kutangulia. Kifo ni hakikakumbe na wao wanakufa
Ndio maana ya projection. Wewe huyo unayemtukuza, unamtukuza kwa sababu anakufanyia vitendo hivyo au ungependa akufanyie. Sasa unadhani mtu yeyote anayemheshimu na kumkubali mtu ni kwa sababu kama zako.mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?
hata ukisemaje haibadirishi ukweli maana mnavyomtukuza mbowe lazima atakuwa anawatiavidole sana vya matako
KARMA YA JPMHata kwenu mnakufa/ mtakufa na Wewe utakufa. Huzuni kutangulia. Kifo ni hakika
safi sana ingawa mbowe hakutuma salamu za rambirambi taifa lilipopata msiba alifikiri msiba ni wa sehemu moja tu awe na utu siku nyingine