comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
si wao hawafagi imekuwaje tena?Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
View attachment 1845577
View attachment 1845790
Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanaJF wote, nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo.
INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN.