TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.

View attachment 1845577
View attachment 1845790

Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanaJF wote, nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo.

INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN.
si wao hawafagi imekuwaje tena?
 
RiP Kaka Charles. Hii Familia Jamani Mungu akasimame katikati Yao. Ni miaka ya Juzi Tu alikuwa Dada Kwa Ajali, akafa Maximilian, akafa Yule Mwanajeshi wa Salasala. Huyu Charles Sijui ni Yule aliyekuwa ana Nywele ndefu anazibana Kwa Nyuma?? Tulikuwa tunamuita Mmarekani?! Dash Mbowe Mungu akutie Nguvu na kulipa Faraja.
kumbe na wao wanakufa
 
Pole Mbowe na familia, hakika wewe nikiongozi. Nimependa uwazi na tahadhari kwa Watanzania juu ya covid.
Mh.Rais anapaswa kutoa tahadhari makatazo mikusanyiko isiyo ya lazima,mfano mwenge hata salamu zake barabarani .
 
Alale salama Chale, rafiki na mtu wa watu

Pole sana kwa Mheshimiwa kaka Freeman na familia
 
Naona viherehere wa liendazake wanapata mahali pa kuleta vihoja vyao na kushangilia. Hata mkishangilia ukweli ni kuwa hayupo tena
 
Wewe ndio mnafik. Amesema taarifa amepata kutoka Chadema, kosa liko wapi? Amesema marehemu ni kaka wa Mwenyekiti wa Chadema, kosa liko wapi? Wapi aliposema kuwa msiba huu ni wa wanachadema peke yao na kuwa marehemu alikuwa Chadema?

Acha unafik. Si tabia nzuri kumsingizia mtu kitu ambacho hajasema.

Amandla...
mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?
 
Naona viherehere wa liendazake wanapata mahali pa kuleta vihoja vyao na kushangilia. Hata mkishangilia ukweli ni kuwa hayupo tena

Hapa tunaongelea “liendazake kutoka kwa familia ya kina Mbowe linasubiri kuzikwa likaliwe na funza huko”.Vipi hapo sawa? Mnajitoaga ufahamu hata mbele ya kifo.
 
mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?
Kuna kitu kinaitwa projection. Maana yake ni ukiona mtu anazungumzia sana kitendo fulani ni kuwa ana anafanywa hicho kitendo au anatamani afanywe hicho kitendo. Kwa kweli unahitaji therapy.

Amandla...
 
Wewe ndio mnafik. Amesema taarifa amepata kutoka Chadema, kosa liko wapi? Amesema marehemu ni kaka wa Mwenyekiti wa Chadema, kosa liko wapi? Wapi aliposema kuwa msiba huu ni wa wanachadema peke yao na kuwa marehemu alikuwa Chadema?

Acha unafik. Si tabia nzuri kumsingizia mtu kitu ambacho hajasema.

Amandla...
mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?
Kuna kitu kinaitwa projection. Maana yake ni ukiona mtu anazungumzia sana kitendo fulani ni kuwa ana anafanywa hicho kitendo au anatamani afanywe hicho kitendo. Kwa kweli unahitaji therapy.

Amandla...
hata ukisemaje haibadirishi ukweli maana mnavyomtukuza mbowe lazima atakuwa anawatiavidole sana vya matako
 
mnaotiwa vidole na mbowe wote aklli zenu ziko nyuma yaanihata alivyoandika hujaona?

hata ukisemaje haibadirishi ukweli maana mnavyomtukuza mbowe lazima atakuwa anawatiavidole sana vya matako
Ndio maana ya projection. Wewe huyo unayemtukuza, unamtukuza kwa sababu anakufanyia vitendo hivyo au ungependa akufanyie. Sasa unadhani mtu yeyote anayemheshimu na kumkubali mtu ni kwa sababu kama zako.
Kweli unahitaji therapy.

Amandla...
 
IMG-20210709-WA0056.jpg
 
Back
Top Bottom