AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ngoja masaa yaishe kwanza maana sio wao wanatembea na ule mfumo wa Wait & See basi subiri tuone..Masaa 24 siyo mengi.
Unaweza weka kambi hapa masaa yataisha ili tuone comeback ya jamaa.
Vinginevyo ni sawa na vitisho vya kiwavi
Alisema Hakuwa na plan!!
Kwahiyo hapo mafichoni nduguze walikuta damu yenye mchanganyiko na ubongo?🙄🙄Vitofali vile vya paving vile vigumugumu wanavibeba mkononi km wote wakifika akikosa huyu mwingine anakuvesha cha kichwa km wanaua nyoka... Muda sio rafiki masaa 24 hayajaisha bado
Mikwara😂😂Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Mimi nadhani makanali wa miaka ya 60 ni tofauti ma hawa wa sasa wa miaka ya 2000sKing Kong III anaamin mbwembwe za huyu jamaa, last time alisema polepole alipo anapajua. Apataje ili watu kwenye D9 wakamtoe
Mimi sijui ingawa Augustino kwa mujibu wa Intelligence yake makini iliyopo karibu na walipomficha HP anasema HP hajafa kutokana na mnyetishaji wake anaempa hizo information anamwambia HP bado ameshikiliwa mateka kwa hio kilichobakia ni kuingia na mbinu za Komandoo Kipensi tu hakuna namna ili kumuokoa ndugu yake hana budi kuingia msituni..Kwahiyo hapo mafichoni nduguze walikuta damu yenye mchanganyiko na ubongo?🙄🙄
Kama kweli iko hivyo basi imeisha.
Kwamba darasa la nne wa mwaka 1976 ni sawa na Form Six wa 2025! Kweli?Mimi nadhani makanali wa miaka ya 60 ni tofauti ma hawa wa sasa wa miaka ya 2000s
Ni kanali wa nchi gani?Kanali ana connection za kutosha ndani ya jeshi.
Kwa hio unataka kusemaje hapo hawa wa 2000 wanazidiwa na Sungusungu raia wanauawa makanali wamejificha makambini si ndio?Mimi nadhani makanali wa miaka ya 60 ni tofauti ma hawa wa sasa wa miaka ya 2000s
NATO. Anawajua viongozi wote waandamizi Tanzania. Connection zake za ndani na nje zinampa taarifa zote muhimu.Ni kanali wa nchi gani?
Una uhakika gani kama ni kiongozi wa NATO?NATO. Anawajua viongozi wote waandamizi Tanzania. Connection zake za ndani na nje zinampa taarifa zote muhimu.
Ndani ya huu mwaka nimeshuhudia zaidi ya mara moja mtu/taasisi/nchi nyingine ikitoa taarifa kabla ya kupiga na baada ya MUDA kipigo kikatokea.Anaanza kutia mashaka, unamwaandaje adui yako na kumwambia ajipange
Sijasema ni kiongozi. Ni afisa wa jeshi wa NATO. Kuna tofauti.Una uhakika gani kama ni kiongozi wa NATO?
Sawa.Sijasema ni kiongozi. Ni afisa wa jeshi wa NATO. Kuna tofauti.
Wewe una uhakika gani sio mwanajeshi wa NATO?Sawa.
Una uhakika gani ni mwanajeshi wa NATO?
Kwako wewe kuwa NATO ni kitu kisichowezekana.Sawa.
Una uhakika gani ni mwanajeshi wa NATO?
Hakuna mahala popote alipoonesha vitambulisho vyake kama.kweli yeye ni mwanajeshi wa NATO . Wala hakuna chanzo chochote kilichohabarisha kwamba alishawahi kuwa mwanajeshi wa NATO.Wewe una uhakika gani sio mwanajeshi wa NATO?